Mimi kitu nilichokuja kugundua kuhusu wanawake;
Mwanamke hana tofauti yoyote na mwanaume pale linapokuja suala la matamanio ya kingono. Kila mwanamke ana kitu chake fulani ambacho akitokea mwanaume mwenye nacho, ujue huyo ke lazima atatoa gemu tu, labda huyo me asitake.
Kama jinsi ambavyo mwanaume unaweza kuwa na mke mrembo, mzuri, mpole nk na bado ukaenda kuchapa nje, vivyo hivyo na mwanamke hata awe na mume mzuri, mwenye hela, anaesimamia kucha nk bado anaweza akatamani na akachapwa nje!
We ukiona mwanamke wako katulia kwenye ndoa mshukuru Mungu na ujue pengine hajakutana na mwanaume mwenye kile "kitu fulani" ambacho kinammaliza nguvu huyo ke. Siku akikutana nae na jamaa akakomaa kidogo tu ujue mzigo unaliwa mchana kweupee..