Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Kijana Mke wa mtu atakuliza siku moja

Nakubaliana na wewe ndugu. Nimekutana na Dada mmoja long time nikiwa Arusha kwenye kampuni moja tukiwa kama wote staff.

Along the way yule dada akatokea kunikubali sana. Stori zake ni mume wake hamkazi, sijui hasisimami vema, mara anahisi ni shoga. So nikaanza kumtafuna.

Anachati na mimi hadi saa nane za usiku, ni kama vile hajaolewa.

Anaaga home kwa mume wake anasafiri kikazi, anakuja kwangu anakaa wiki tatu kupika na kupakua.

Akapata ujauzito two times , hizo mimba alikuwa anazichomoa pasipo mimi kujua.

Somedays alikuja home kachoka kweli akaenda kulala direct.

Ndani ya begi lake la computer nilitaka kutumia PC yake, nikakutana na Dawa. Nikamtafuta jamaa yangu ambaye ni Mfamasia( Pharmacist) aniambie ni dawa za nini.

Akaniambia ni dawa za kutolea mimba na zilikuwa tayari amekunywa.

Basi nikarudisha begi na PC , sikumtel anything maana nilifungua begi bila ya consent Yake.

Kutokana na hali yake nikamuuliza vipi unaumwa, alijibu tu nipo MP, with heavy bleeding. Nikamtel pole and some carrying .

Somedays akaja kuniambia. It was out of conversation na alikuwaa amepata wine kidogo, akaniambia , Mushi, this time nikipata mimba yako SITOI, nitalea mwenyewe.

Kikamtel kwani umewahi kutoa, akasema yes two times …duh.

Nikamtel sawa but kabla ya kubeba let’s talk and have consensual.

Alikuwa ananipa story zote za mme wake mapungufu na shida nyingi and akawa anasema ukweli ali overreact but she was not supposed to BE married by him.


Ikafikia hatua ananunua vitu vya home yaani she was making our home.

Siku alipokuja kuniambia nataka kumuacha huyu mwanaume na nitaondoka na mtoto wangu.

Akili yangu ikastuka hapa ninapokwenda na huyu mke wa mtu ni pabaya na nilazima nipige chini hii PISI.

Some of the staff kwa ofisi wakaanza kuhisi kuna kitu kati yetu.

Nilianza kumtel asije home nina ndugu yangu anakuja atakuwa pale.

Akaniambia tupange sehemu yetu mm na yeye.

It was not easy kumuacha yule dada, nimeish nae ivo for 3 years .

Ilibidi niombe sana nipate nguvu ya kumuacha maana we were in love .

Those were my dark days and I feel terrible sorry for her , hadi sasa naambiwa hawapo vema na husband wake.

Mke wa mtu hakuna future na amani ya moyo ni ndogo sana . Somedays mume wake alinitext kuwa

(nimeona namba yako inampigia snaa wife, naomba tuipe ndoa heshima)

Alinitext hivo na hakuwahi kunitafuta tena .

Nilipomtel huyo dada nimetumiwa sms na mme wake hii hapa, jibu lake lilikuwa moja tu , achana nae.

I cried and i felt nipo kwenye mtihani na sijui nini cha kufanya.

Duh nikasema huyu dada ni kumuacha haraka sana kwa kutumia nguvu nyingi

Najutia haya makosa na i feel sorry for the husband kuwa na mwanamke kama yule…..

I totally discourage mahusiano na mke wa mtu ; i am lucky kuwa niliondoka TZ nikahamishiwa kikazi Canada
Next time nitakutafuta, tutaanzia hapo Canada, sawa?
 
Na kwa uzoefu wangu, kama mke anagawa nje ujue anagawa kwa wengi. We unaweza ukamkamata huyo mmoja ukajiona umeshinda kumbe pembeni kuna wana wengine wanaendelea kujilia wanakuchora tu..

This is true . Nilipokuwa natoka na mke wa mtu ( nimetubu kwenye hili na Mungu wangu anisamehe sitokuja kurudia hili kosa la kuwa in relation na mke wa mtu ) nilishawahi pia ku suspect anatoka na msela mwingine. Nilipokuja kuchunguza nikajua ni kweli na yeye alikiri na akaomba sorry , by that time nilikuwa nimeshapanga kumpiga chini maana i was not at peace and i wanted peace . So nilipokuja kujua anamegeka. Nikaona hiyo ndio sababu nyingine

Mwanamke akianza toka nje piga chini
 
Hapo ndo team kataa ndoa inapopata nguvu na kauli mbiu zao eti ndoa ni utapeli
 
daah sio powa huu uzi inabd nkamuoneshe mwanngu mmoja hivi😂
Muoneshe na mwambie kuwa tunapambana usiku na mchana ili kupata amani na furaha kwenye maisha yetu. Mwambie hatuna muda wa kukaa na wake zetu sababu tunafight kwa ajili ya kesho bora. Mwambie hatuwarudhisi kama wanavyosema kutokana na kuchoka kwa sababu kutafuta na kuandaa kesho bora ya familia zetu. Mwambie tunapambana na tunapata stress tunapopambana kwa ajili ya kesho iliyo bora.

Mwambie atalipa gharama kwa kutembea na wake za watu kwani wengine tumezaa nao watoto. Mwambie atajutia maisha yake yote, mwambie yeye ndio atakiwa mke wetu nida si mrefu, mwambie ajiandae kuvuliwa ubingwa, mwambie awe anatembea na vilainishi kabisa. Mfikishie ujumbe wetu.😀😃😄😁😆
 
FUTA la mgando au koozi jepesi litausika kijana ukikamatwa na mke wa mtuu..

Kaa mbali na mke wa mtu na wanafunzi ,malaya mpk wa buku wapo
Hivi watu wanaona fahari sana kulawiti mgoni? Sasa si ndo uongezwaji wa ushoga huu.
 
Maisha magumu yanafanya vijana kutafuta sehemu zenye unafuu.

Wake za watu nayo ni fursa kama nyingine.
 
Mimi kitu nilichokuja kugundua kuhusu wanawake;

Mwanamke hana tofauti yoyote na mwanaume pale linapokuja suala la matamanio ya kingono. Kila mwanamke ana kitu chake fulani ambacho akitokea mwanaume mwenye nacho, ujue huyo ke lazima atatoa gemu tu, labda huyo me asitake.

Kama jinsi ambavyo mwanaume unaweza kuwa na mke mrembo, mzuri, mpole nk na bado ukaenda kuchapa nje, vivyo hivyo na mwanamke hata awe na mume mzuri, mwenye hela, anaesimamia kucha nk bado anaweza akatamani na akachapwa nje!

We ukiona mwanamke wako katulia kwenye ndoa mshukuru Mungu na ujue pengine hajakutana na mwanaume mwenye kile "kitu fulani" ambacho kinammaliza nguvu huyo ke. Siku akikutana nae na jamaa akakomaa kidogo tu ujue mzigo unaliwa mchana kweupee..
Hii comment ifanyiwe lamination.
You nailed it
 
Muoneshe na mwambie kuwa tunapambana usiku na mchana ili kupata amani na furaha kwenye maisha yetu. Mwambie hatuna muda wa kukaa na wake zetu sababu tunafight kwa ajili ya kesho bora. Mwambie hatuwarudhisi kama wanavyosema kutokana na kuchoka kwa sababu kutafuta na kuandaa kesho bora ya familia zetu. Mwambie tunapambana na tunapata stress tunapopambana kwa ajili ya kesho iliyo bora.

Mwambie atalipa gharama kwa kutembea na wake za watu kwani wengine tumezaa nao watoto. Mwambie atajutia maisha yake yote, mwambie yeye ndio atakiwa mke wetu nida si mrefu, mwambie ajiandae kuvuliwa ubingwa, mwambie awe anatembea na vilainishi kabisa. Mfikishie ujumbe wetu.[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah
 
Aise kwangu nitamuonya kwanza huyo kijana,,akirudia lazima nimtoboe
KWa Maana adhabu yatakiwa iume
 
Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?

Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?

Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?

Anakwambia anakupenda sana eeeh!

Utalia siku moja.
Brother, jitahidi kumfanya mke wako awe na furaha, usilalamikie watu kwa mapungufu yako
 
Hakunaga mwisho mzuri kwa kula mke wa mtu kifuatacho ni kupigwa bunduki,kuchinjwa,kulogwa,umeomewa sana huruma umesodomiwa.
Baada ya utamu kifuatacho ni uchungu na majuto ya mda mrefu.
 
Umekula mke wa mtoa kafara next kafara ni lazima aweke jina lako kwenye list.
 
Back
Top Bottom