Anakwambia Mume wake hayupo vizuri kitandani sio?
Anakwambia Mume wake hana muda nae sio?
Anakwambia Mume wake hampi mapenzi kama yako sio?
Anakwambia anakupenda sana eeeh!
Utalia siku moja.
Nakubaliana na wewe ndugu. Nimekutana na Dada mmoja long time nikiwa Arusha kwenye kampuni moja tukiwa kama wote staff.
Along the way yule dada akatokea kunikubali sana. Stori zake ni mume wake hamkazi, sijui hasisimami vema, mara anahisi ni shoga. So nikaanza kumtafuna.
Anachati na mimi hadi saa nane za usiku, ni kama vile hajaolewa.
Anaaga home kwa mume wake anasafiri kikazi, anakuja kwangu anakaa wiki tatu kupika na kupakua.
Akapata ujauzito two times , hizo mimba alikuwa anazichomoa pasipo mimi kujua.
Somedays alikuja home kachoka kweli akaenda kulala direct.
Ndani ya begi lake la computer nilitaka kutumia PC yake, nikakutana na Dawa. Nikamtafuta jamaa yangu ambaye ni Mfamasia( Pharmacist) aniambie ni dawa za nini.
Akaniambia ni dawa za kutolea mimba na zilikuwa tayari amekunywa.
Basi nikarudisha begi na PC , sikumtel anything maana nilifungua begi bila ya consent Yake.
Kutokana na hali yake nikamuuliza vipi unaumwa, alijibu tu nipo MP, with heavy bleeding. Nikamtel pole and some carrying .
Somedays akaja kuniambia. It was out of conversation na alikuwaa amepata wine kidogo, akaniambia , Mushi, this time nikipata mimba yako SITOI, nitalea mwenyewe.
Kikamtel kwani umewahi kutoa, akasema yes two times …duh.
Nikamtel sawa but kabla ya kubeba let’s talk and have consensual.
Alikuwa ananipa story zote za mme wake mapungufu na shida nyingi and akawa anasema ukweli ali overreact but she was not supposed to BE married by him.
Ikafikia hatua ananunua vitu vya home yaani she was making our home.
Siku alipokuja kuniambia nataka kumuacha huyu mwanaume na nitaondoka na mtoto wangu.
Akili yangu ikastuka hapa ninapokwenda na huyu mke wa mtu ni pabaya na nilazima nipige chini hii PISI.
Some of the staff kwa ofisi wakaanza kuhisi kuna kitu kati yetu.
Nilianza kumtel asije home nina ndugu yangu anakuja atakuwa pale.
Akaniambia tupange sehemu yetu mm na yeye.
It was not easy kumuacha yule dada, nimeish nae ivo for 3 years .
Ilibidi niombe sana nipate nguvu ya kumuacha maana we were in love .
Those were my dark days and I feel terrible sorry for her , hadi sasa naambiwa hawapo vema na husband wake.
Mke wa mtu hakuna future na amani ya moyo ni ndogo sana . Somedays mume wake alinitext kuwa
(nimeona namba yako inampigia snaa wife, naomba tuipe ndoa heshima)
Alinitext hivo na hakuwahi kunitafuta tena .
Nilipomtel huyo dada nimetumiwa sms na mme wake hii hapa, jibu lake lilikuwa moja tu , achana nae.
I cried and i felt nipo kwenye mtihani na sijui nini cha kufanya.
Duh nikasema huyu dada ni kumuacha haraka sana kwa kutumia nguvu nyingi
Najutia haya makosa na i feel sorry for the husband kuwa na mwanamke kama yule…..
I totally discourage mahusiano na mke wa mtu ; i am lucky kuwa niliondoka TZ nikahamishiwa kikazi Canada