Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA


Safi sana mkuu,Ngoja kwanza jamaa ajibu
 
😂
 
Wananianza wenyewe mkuu!
Mm nakujua wewe ni mtu Mpole kwa nn mpigane vitasa mkuu. Au kuchoka kimaisha, maana kama una mambo mengi na schedules zako hauwez upange mpigane vitasa njiani. Kwahiyo mnachaguaga ndani ya vituo vya mwendokazlsi??

Mm nakumbuka niliogana vitasa na kinda wa daladala ya bunju kawe. Tulikwenda kuamuliwa kawe kituo cha polisi. Nilimsingizia kutaka kunibaka
 
Nyie na ngumi zenu za stegini..nawapiga wote..mimi napigana street fight..sasa. Njoeni na ngumi zenu za kustyle kama dancing nawakalisha wote.
 
Haahhahaa Dah jF never boring
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…