Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa jf sidhani kama tunaandika na midomo jitafakari mkuuMkuu acha mdomo mrefu kama Furu,nimekwambia waweza ungana na mwenzio!
Najitolea kuwa shahidi, popote pale mtakapokuwa nipo tayari kuwa shahidi….!!!!
Mambo ya kushuhudia nayapenda sana, so mtanijulisha nije na camera za aina gani na ngapi, ili kama vipi nijue hii alphard naweka mafuta ya bei gani na vijana wangpi wabebe camera ili tunase matukio yote kila angle!!!
Hahahaha sawa naona huwezi andika kama mwanaume mpka umdhihaki mtu na jinsia ke 😂😂Acha mdomo mrefu kama Furu Jike,nimekwambia unaweza ungana na mwenzio mkawa wawili!
Mbona ni simpo!
Mpaka leo hana hamu na mimi. Na bahati nzuri anaifahamu mikito yangu ya kiroho mbaya...Alimfuata Chizi Maarifa jamaa akakimbia ile Mbaya. Akambia ile mbaya.
😂Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.
Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.
Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!
Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!
Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.
Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Mm nakujua wewe ni mtu Mpole kwa nn mpigane vitasa mkuu. Au kuchoka kimaisha, maana kama una mambo mengi na schedules zako hauwez upange mpigane vitasa njiani. Kwahiyo mnachaguaga ndani ya vituo vya mwendokazlsi??Wananianza wenyewe mkuu!
Haahhahaa Dah jF never boringHahaaaa mimi kuna mmoja yupo rombo huko akawa ananitukana na kuzuga yupo Sudan. Nikatengeneza ID nyingine yenye jina la kike. Nikamfuata Inbox, dogo akanipa namba yake. Hahaaaa nikamwambia mimi fulani nimetengeneza hii ID ili nikushughulikie. Hahaaaa, dogo akaomba msamaha.
HahahaahaMi nipo tayari kuleta glucose ili ambaye atambwela mbwela basi apate kujiboost.
Sasa unapambana vipi na kimvuli? Mtu hata humjui anakusumbua eti mkutane mpigane…sasa ukienda ukachomwa visu? Huo ndio naita ni wehu na kuwehuka watu hata hamjuani mnagombana vipi?……..Mnaumwa nyie….Wananianza wenyewe mkuu!
Kumbe umo Demi😄Vitasa
Watupe location sie tukashuhudie😀Kumbe umo Demi😄
Watu wa miaka ile tulikuwa tubaita 'mkono'