Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Hivi uliwahi kuwaza, mambo haya kwa kitendo cha kuwaza kukutana kishari (kiugomvi) na mtu usiyemjua.

1.kupigwa manati (pistol)kipindi simu ipo sikioni ukimsaka muhusika.

2.Kuitiwa mwizi ili mradi tu ukomeshwe, hata kama hujaiba

3.Kukamatwa na kundi la wahuni Kisha kulawitiwa huku ukirekodiwa .

UMUGHAKA wewe ni moja ya watu ambao nilipanga hata kukutana na wewe tubadilishane mawazo. Kutokana uandishi wa simulizi zako.

Sasa mbona unaniangusha homeboy nani ka hack I'd yako.

Mbona kama hujiamini , kwanini uwaze kupigana kiboya.

Labda kama huu uzi upo kiutani .
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!


Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA

Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.

Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.

Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!

Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!

Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.

Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Murah

Hivi Karne hii mtu unawaza kupigana!!?

Aiseh Kaz kweli kweli!!
 
UMUGHAKA mbona nawe umeanza tabia za kipopoma za vitisho vitisho kumbe hamna kitu.
Umeona eeeh.... Sisi wapemba tunatizama tuna sema hiiiiiiii...... Kwisha kabisa. Mjini hapa watu wanaharibiwa sana. Unakuta mtu huko nyuma hakuwa hivyo... Sasa ndo anaendana na mapigo ya mjini... Tayari kesha habari yake. Ndo basi tena, ndo hivyo.
 
Back
Top Bottom