Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Alianza comrade NALIA NGWENA huyu alifika mpk banana kwenye viwanja vya airwings pambano halikufanyika.

Leo tunasikia kuhusu UMUGHAKA na Hance Mtanashati .Hili pambano litakuwa bora kwa wakat wote mnatak ufadhili gan msipewe humu.

Kuna thread moja humu walisema kuna watu walikutana wakazchapa il mmoja akatumia rungu lililosababisha mwengne kukimbia.

Nawaomba tu hii ni fist fight pambano liwe fair.
Mwamba una kumbukumbu balaa [emoji23]
 
Hahaaaa mimi kuna mmoja yupo rombo huko akawa ananitukana na kuzuga yupo Sudan. Nikatengeneza ID nyingine yenye jina la kike. Nikamfuata Inbox, dogo akanipa namba yake. Hahaaaa nikamwambia mimi fulani nimetengeneza hii ID ili nikushughulikie. Hahaaaa, dogo akaomba msamaha.
🚮
 
Ukiona mkurya anakubali kupigana Kwa mikono, usimwamini,

Lazima kaficha sime mahala!!
 
Back
Top Bottom