Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuwa kumbusha tu.Mwamba una kumbukumbu balaa [emoji23]
UMUGHAKA wa Bhaghaka, nakuaminia sana Ninja wangu. Umenifanya nicheke sana dah... Bhitah ni bhitaNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.
Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.
Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!
Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!
Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.
Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
😂 hiyo albam ikiuza niite mbwa nimekaa paleNusuu albino Half american , soon naingia studio kutoa album ya nusu albino. Track list
-
- nusu albino
- Mr dalali
- nusura niue
- Pua kubwa half american
- Dark with white albino
Nenda kanisani mkuu ugomvi hauna maana kwa sisi wapiga karate tunafundishwa kukimbia linapokuja suala la ugomviWewe Kijana Hance Mtanashati acha blah blah huko Pm umesema nikutumie namba unitumie hela ya mafuta nikufuate ulipo,namba nimekutumia unaanza danàdana,nimekwambia mimi nahitaji kuzichapa na wewe leo Ijumaa,kesho nitakuwa kanisani,Halafu kwanini ung'ang'anie kesho?
Ujasoma uzi nimesema nitakuwepo kanisani?,Wewe sema ulipo mimi niwashe chombo nikufuate,Acha Blah blah!
Unapotaka kupigana na mtu huwa ina aaminisha umeshajiandaa,sasa blah blah za nini!,Mimi nahitaji pambano leo hii!.
Hakuna ajuaye kesho au kesho kutwa ataamkaje!
WEWE MWANAMKE Hance Mtanashati MIMI NAHITAJI PAMBANO LIWE LEO HII IJUMAA!
Kiwanja wap
Wewe bwege ACHA kuwadanganya watu umeomba nauli nikakwambia toa namba nikutumie nauli ukatoa kweli ukasema Leo hauna nauli.Wewe Kijana Hance Mtanashati acha blah blah huko Pm umesema nikutumie namba unitumie hela ya mafuta nikufuate ulipo,namba nimekutumia unaanza danàdana,nimekwambia mimi nahitaji kuzichapa na wewe leo Ijumaa,kesho nitakuwa kanisani,Halafu kwanini ung'ang'anie kesho?
Ujasoma uzi nimesema nitakuwepo kanisani?,Wewe sema ulipo mimi niwashe chombo nikufuate,Acha Blah blah!
Unapotaka kupigana na mtu huwa ina aaminisha umeshajiandaa,sasa blah blah za nini!,Mimi nahitaji pambano leo hii!.
Hakuna ajuaye kesho au kesho kutwa ataamkaje!
WEWE MWANAMKE Hance Mtanashati MIMI NAHITAJI PAMBANO LIWE LEO HII IJUMAA!
Wewe ndio muoga kwanini ulimwambia kabla ,ungefabya kila njia muonane kwanzaHahaaaa mimi kuna mmoja yupo rombo huko akawa ananitukana na kuzuga yupo Sudan. Nikatengeneza ID nyingine yenye jina la kike. Nikamfuata Inbox, dogo akanipa namba yake. Hahaaaa nikamwambia mimi fulani nimetengeneza hii ID ili nikushughulikie. Hahaaaa, dogo akaomba msamaha.
Wewe bwege ACHA kuwadanganya watu umeomba nauli nikakwambia toa namba nikutumie nauli ukatoa kweli ukasema Leo hauna nauli.
Kesho ukasema kanisani, nikakwambia isiwe sababu tusogeze mbele mpaka Jumapili.
Hujajibi mpaka muda huu ,bwege kama wewe husumbui maneno maneno mengi kama muimba taarabu ila maajabu huna
Wewe bwege ACHA kuwadanganya watu umeomba nauli nikakwambia toa namba nikutumie nauli ukatoa kweli ukasema Leo hauna nauli.
Kesho ukasema kanisani, nikakwambia isiwe sababu tusogeze mbele mpaka Jumapili.
Hujajibi mpaka muda huu ,bwege kama wewe husumbui maneno maneno mengi kama muimba taarabu ila maajabu huna
Kimara ama Banana?mkuu wewe ndo uliwahi kumfata mtu kimara mpigane akakukwepa ? [emoji1787][emoji1787]
Jomba utakuja kufa. Mimi mtu akitaka nletea wenge fresh nampa location ila ujue mimi situmii nguvu. Paru tu chap nikikuonea huruma vidagger vya mapaja ukasikilizie mbele.Hii ni idea poa sana, Naomba tutengenezewe jukwaa la sparring humu ili wale mnaojikuta expert wa keyboard na kutukana watu tuwe tunaonana face to face tutukanane livelive tukiwa tumevaa Gloves... Gademit
Komando kipensi labda.Mara ya mwisho kupigana
Nilipigana na komando......
Jide lakini!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeWazee wa betting tupo tunafuatilia huu uzi kwa karibu, naona kuna fursa
Huna baya tajiri angu .....LinguisticVitasa
Google inasaidia sana😀Huna baya tajiri angu .....Linguistic