Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Hivi uliwahi kuwaza, mambo haya kwa kitendo cha kuwaza kukutana kishari (kiugomvi) na mtu usiyemjua.

1.kupigwa manati (pistol)kipindi simu ipo sikioni ukimsaka muhusika.

2.Kuitiwa mwizi ili mradi tu ukomeshwe, hata kama hujaiba

3.Kukamatwa na kundi la wahuni Kisha kulawitiwa huku ukirekodiwa .

UMUGHAKA wewe ni moja ya watu ambao nilipanga hata kukutana na wewe tubadilishane mawazo. Kutokana uandishi wa simulizi zako.

Sasa mbona unaniangusha homeboy nani ka hack I'd yako.

Mbona kama hujiamini , kwanini uwaze kupigana kiboya.

Labda kama huu uzi upo kiutani .
 
Murah

Hivi Karne hii mtu unawaza kupigana!!?

Aiseh Kaz kweli kweli!!
 
UMUGHAKA mbona nawe umeanza tabia za kipopoma za vitisho vitisho kumbe hamna kitu.
Umeona eeeh.... Sisi wapemba tunatizama tuna sema hiiiiiiii...... Kwisha kabisa. Mjini hapa watu wanaharibiwa sana. Unakuta mtu huko nyuma hakuwa hivyo... Sasa ndo anaendana na mapigo ya mjini... Tayari kesha habari yake. Ndo basi tena, ndo hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…