Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
HapanaHivi wewe ndo demisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaHivi wewe ndo demisi
Napendekeza gloves ili mtu avimbiane bila vidonda maana akitoka mangeu inaleta picha ya kesi ya kujaribu kuua😁Kabisa mkuu
Ila mimi huwa sipendi kuvaa Gloves,napenda nikipigwa ngumi nitoe damu (Kichuri) hapo ndipo nitajua tunapigana!
Mwenzi nilienae nimempakata muda huu tunaangalia uelekeo wa mlima kilimanjaro ulipo mbali na hapo labda ujichamganye tena ujichanganye kweli ndipo naweza pigana ila sio siri kanda maalumu warembo tu watoto mchele mcheleUnaonaje mkuu ukaungana na mwenzio?
Vijana mna tabuNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.
Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.
Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!
Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!
Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.
Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Mwenzi nilienae nimempakata muda huu tunaangalia uelekeo wa mlima kilimanjaro ulipo mbali na hapo labda ujichamganye tena ujichanganye kweli ndipo naweza pigana ila sio siri kanda maalumu warembo tu watoto mchele mchele
Alimfuata Chizi Maarifa jamaa akakimbia ile Mbaya. Akambia ile mbaya.Sasa huo si ndio wehu kabisa hahahahaha
Nimempakata tunamalizia jioni safiii na kaupepo ka wilaya tulivu mbali na hapo labda ujichanganyeSawa mkuu ingekuwa vema ukaungana na mwenzio!
Hahaha Nyakuru Chacha!Mkuu mimi siyo kijana,mimi ni UMUGHAKA WA BHAGHAKA!
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA
Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.
Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.
Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!
Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!
Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.
Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Hance stori zake nyingi ni za umbea wa lulu na diamondHansi Baro ni Afande huko Kibaha.