Kijana Mmoja ameomba Sparring na mimi,kiukweli nimefurahi mno kwasababu nataka nimuonyeshe kwanini niliitwa UMUGHAKA

Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kukuongoza kijana Hance Mtanashati kwa kuomba kufanya Sparring na mimi,haya ndiyo mambo nipendayo UMUGHAKA

Nimewahi kumuomba ndugu yako Sparring lakini akaingia mitini na kuendelea kunitukana!.

Nashukuru sana kwa wewe kuwa jasiri na kutaka Sparring na mimi!.

Nimekutumia sms pm (Inbox) kama ulivyotaka na maelezo yote nimeweka hapo lakini naona kimya!

Kama itawezekana naomba iwe kesho kabla ya jua kuzama maana mwenzio ni Msabato,kama ikishindikana kesho basi tafuta muda na siku utakayoona inafaa!

Ukitaka wawepo mashahidi kadhaa kutoka hapa JF itakuwa vema lakini pia ukitaka tuwe sisi wawili nadhani itakuwa vema zaidi ili mmoja akichakaa amkimbie mwenzie,asiwepo wa kutuachanisha.

Nimekutumia sms pm nasubiri majibu!
Vijana mna tabu
 
Najitolea kuwa shahidi, popote pale mtakapokuwa nipo tayari kuwa shahidi….!!!!
Mambo ya kushuhudia nayapenda sana, so mtanijulisha nije na camera za aina gani na ngapi, ili kama vipi nijue hii alphard naweka mafuta ya bei gani na vijana wangpi wabebe camera ili tunase matukio yote kila angle!!!
 
Back
Top Bottom