Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza

Umeshapata bro maana nina project nyingi za pesa kama hujapata nichek.
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza

Kama ipo 10M, njoo tubadilishe dunia kwenye upande wa kilimo na ufugaji kwa kutengeneza app ambayo itasaidia watz kuuza na kununua malighafi itokanayo na kilimo na ufuagji nchi nzima na East Africa kwa ujumla.

Kupitia app hii tutaweza kuisaidia serikali kwa upande wa ajira kwa kuajiri wataalam wa kilimo na ufugaji pia nakutoa elimu kwa wakulima na wafugaji kwa urahisi zaidi nchi nzima.

Njoo tuingize pesa tukiwa tumelala...
 
Mkuu naomba hiyo konekisheni tafadhali
Kama upo dar tuonane niweke mzigo if possible. Hakuna mbambamba
🙆‍♀️
Tufungue vijana mwl.
Ni kwa Tz au Mbele huko?
==
I am a full-time trader.

I plan to use only TZS 2.5 million capital to obtain a $50,000 funded trading account from a PropFirm.

With this account size, it will be easier to target a weekly profit of TZS 500,000.

If you are interested in joining me on this , please reach out to me for more information on how we can start this trading business together.
=
Nasibu Thabith ,
Steve96
STREET SMART
Holly Star
Developer
Hassanjk
=
Kimsingi hapo ni swala la hesabu tu, Karibu inbox kwa next step.
 
Una trade STOCKS, FX, CRYPTO, INDEXES, COMMODITIES?
 
Habari, kuna aina nyingi sana za biashara kwa mtaji wako, japo ingefika milion 15 ingependeza zaid, unaweza fungua duka la kuuza malidhafili za kutengenezea chakula cha kuku, kama mashudu ya alizet, mashudu ya pamba , damu,chokaaa, pumba nk, hii biashara inalipa na hizi bidhaa kuna baadhi unafuata mkoani nyingine zipo hapa dar,

Biashara ya pili ni kununua nafaka mikoani na kuja kuuza dar, hasa mahindi hii pia iko vuzuli japo kwa kipindi hiki maindi yapo juu sana lkn unaweza kuvuta subila ikifika mwezi wa 5 unaanza na mahindi ya mtukula kwa milioni kumi inatosha kuna kipindi maindi yanauzwa sh 600 kwa hiyo ukiwa na milioni 10 unakwenda kuchukua tani 15 - 18 na ukija kuuza unapata faida nzuli tu,

Kuna biashara ya kufungua mashine, kiukweli hii ndio biashara ya ndoto yangu , biashara hii imegawanyika makundi 3.

Unafungua mashine kwa ajili ya kusaga vipeto vya watu tu, hii kwa cku hukosi kuanzia 20-50 kutokana na eneo ulilopo lkn unawez kuwa na mashine ndogo kama SB 30 kwa ajili ya kukoboa mpunga kwa watumiaji wa chini biashara hii ni nzuli sana kwa nje ya dar.

Biashara nyingine ni kufungua mashine ya kusaga sembe hii unaweza kufanya hapa dar tena ukiwa na mtaji mzuuuli unachofanya unafungua mashine yako unaleta mahindi kutoka shamba unakoboa kwa mashine yako, , kuna wale wasiokuwa na mashine watakuja kukoboa kwako lkn pia kama unamtaji wa kutosha unawakopesha mahindi wajasiliamali wadogo pale pale mashineni wanasaga wanauza sembe wanakulipa pesa yako.

Baishara ya tatu ni kufungua mashine ya kukoboa mpunga ,hii inakuwa ya kukoboa mpunga tu, unanuna SB 50 unafunga mahali pazuuli kisha unakuwa na stoo kuuubwa ya kuhifadhia mpunga ,wakulima wanaleta mpunga kwako wahifadhi kisha ukifika msimu wanakoboa, lkn pia wafanya biashara wanakuja hako kukoboa na kununua mchele hii ni nzuli sana, karibu mp boss,
Naomba kujua bei ya SB 30 NA SB 50
 
I trade in commodities, indices, and currencies. On my watch list, I have 35 instruments, and from these 35, I look for 3 to 5 instruments each day. My target profit is between 0.5% to 2.5% per day.

Kwenye trading huwaga hatuwekezi bro, am professional trader anyway especially kwenye crypto. SIkushauri kufanya account management au watu kuwekeza kwako kwasababu ni hatari sana. Trading haina gurantee muda wowote unaweza BURN ACCOUNT. VERY RISK..

TRADE FOR YOUR OWN RISK BRO.
 
Kwenye trading uwaga hatuwekezi bro, am professional trader anyway especially kwenye crypto. SIkushauri kufanya account management au watu kuwekeza kwako kwasababu ni hatari sana. Trading haina gurantee muda wowote unaweza BURN ACCOUNT. VERY RISK..

TRADE FOR YOUR OWN RISK BRO.
These are your opinions, and you may be right from your perspective.
Do you have any knowledge about Prop firms, especially regarding instant funding?
 
It seems that we have significant differences in our perspectives regarding this trading matter.

I wish you a good day.
=
1678061586110.png
 
Tumia muda mwingi kujifunza, kunamengi ya kujifunza.

The Risks Associated With Trading With A Prop Firm​

Prop firms are generally much higher risk than trading with a traditional broker. This is because prop firms typically don't have the same regulatory protections in place that traditional brokers do. Additionally, prop firms often require their traders to put up a significant amount of money as collateral, which can be lost if the trader is unsuccessful. Finally, many prop firms require their traders to sign away their rights to sue the firm if they are unhappy with the way their account is managed. All of these factors make trading with a prop firm a much riskier proposition than trading with a traditional broker.
 
Muhimu | Hakuna investment yeyote duniani isiyokuwa na Risk, Hivyo ni jukumu lako kufanya reseach kipi kinafanya vyema kwako, basi endelea nacho.

Ombi kwako, tusihamishe mjadala na lengo la hii thread.

Iwapo una hoja za msingi unataka kunishirikisha basi niandikie PM. Tusiharibu thread na kuanzisha mjadala wa trading.
 
Lengo nilitaka watu waone kitu unachokiongelea ili wasome kabla hawajaja kwako kuwekeza.
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Wazo langu ni biashara ya duka la dawa muhimu Dldm,
 
Back
Top Bottom