Kijana mwenye wazo la Biashara la mtaji wa Mil 5-10

Natumia pro firm mwaka na nusu sasa. Kifupi tu wanaokoa japo wana mtego mdogo kwa wanaoanza
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Nicheck kwa 0625008306
Faida uhakika
 
Investment amount 2.5M
Weekly Profit around TZS. 500,000 | Yaani wastani wa 100,000 kwa siku. | Kwa siku 5 za kazi.
Inbox tufanye kazi.
Mawazo ya hivi ni magumu kuyakuza, unaweza ukakaa miaka hata mitano na mtaji ukahitajika huo huo wa 2.5 mil with profit continue to godown as compared to capital. Ila mawazo ya hivi yapo mengi tu
 

Naona kuna mtu anataka kulia hapa [emoji1787]
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Wazo langu: KUFUNGUA MGAHAWA
 
Mawazo ya hivi ni magumu kuyakuza
Ni rahisi, nina uzoefu tangu 2017. Ninachokizungumza ndicho ninachofanya kila siku, na ninachofanya ninakijua zaidi ya maelezo, bali kwa vitendo.

Twende kwa mfano hai wa vitendo.

Jumapili(05/03/2023) nimekabidhiwa account ya $5,000 na mdau mmoja.
- Jana siku ya kwanza matokeo ni haya.

- Angalia tarehe ( Ni siku ya jana)
-Nilifungua trade 7, - Trades 5 prrofit, Trade mbili ni Loss 2 | Ukiangalia kwa umakini utaona hapo kuna AUDUSD ambapo hesabu yake ni ( $-27.36 + $50.6 ) ikiwa na maana niliingia mwanzo,nikatolewa, nikaingia tena baada ya dakika chache.

Net profit ni $115, kumbuka hii ni account ya $5K,

na kwa mtaji wa 2.5M hapo, nazungumzia account ya $50K, ndio sababu nikasema kwa hakika kabisa kutafuta asilimi 0.5% kwa siku toka account ya $50,000 kwamwe siwezi kushinwa, ambao kwa wiki(5 trading days) nakuwa na 2.5% na naweza kufanya withdraw.



Na hii hapa chini ni Screen shot toka MT5 | Utaona muda wa kufungua trade na muda wa kufunga.

Huu ni mfano mmoja tu | Tena ni Manual trading | Yaani trading kwa kudokoa kapair kamoja kamoja.

Twende mfano wa pili | Ambapo natumia mFlow EA
- Account size ni $10,000

  • Hizi ni trades zilizofubguliwa na kufunwa siku ya Jana.
  • Ifuatayo ni summary ya ufanyajikazi wa EA kwa jana

  • Utaona ilifungu na kufunga trades 69
  • Win Rate ni above 50, Profit factor 2.23, Average RRR ni 1.62

Grouth curve ambapo EA ilifunga siku kwa profit ya $1,377 na kufanya Jumla ya $11,377 toka initia balance ya $10,000

Hivyo nina njia zaidi ya moja kuhakikisha 0.5% inapatikana kwa kila siku.
=
Hivyo wakati wengine wanazungumza kinadhari kuhusu biashara, Mimi nazungumza kutokana na vitendo, na nina uwezo wa kukuthibitishia kwa vitendo, hata kama utataka tuanze hivi leo muda huu.
unaweza ukakaa miaka ata mitano na mtaja ukaitajika uo uo wa 2.5 mil with profit continue to godown as compared to capital.
Kwa hiyo kinadharia, na kwa kutokujua kivitendo uko sahihi. sio kosa lako.
==
Kwa potentia investors | Na pokea Instant funding toka Finotive Funding, ambapo maximum allocation ya capital kwa trader mmoja ni $600,000 | Hivyo nahitaji watu wasiozidi 12 tu, kila mmoja kwa account size ya 50K.
=
Account size ya chini ninayopokea toka Finotive ni $10,000

Hivyo wewe kama business partne ,una option ya kuchagua moja kati ya hizi account size:
  • $100,000
  • $50,000 | Hii ndio target yangu ya awali kwa mtaji wa TZS. 2.5M
  • $25,000 na
  • $10,000
Sipokea account size chini ya 10K, Njoo inbox uniambie account size unayohitaji ili tufanye kazi.
=
Withdraw threshold kwa Finotive funding ni 2.5% ya starting balance.
  • Withdraw ni kwa wiki ( iwapo kila wiki utakuwa na profit sawa au zaidi ya 2.5%)
  • Leta mtaji, Tunagawana profit 50/50 kwa kila withdraw | Mkataba ni siku 90
  • Kama una swali na unahitaji ufafanuzi njo inbox tufanye kazi kwa vitedno na sio kinadharia.
==
Kinumbo IT Pro Mchimba Chumvi STREET SMART
nyakubonga King Kong III Steve96 Developer
Nasibu Thabith Holly Star thomas barbona Hassanjk
=
Hapa chini ni orodha ya kampuni ( PropFirms ) ambazo ni bora zaidi.
Code:
https://docs.google.com/spreadsheets/d/1U0M8mZBnGMa9NQoC6o6qaYphTbM58T28_2LgDbBVfrw/edit#gid=0
 
M

Mawazo ya hivi ni magumu kuyakuza, unaweza ukakaa miaka ata mitano na mtaja ukaitajika uo uo wa 2.5 mil with profit continue to godown as compared to capital. Ila mawazo ya hivi yapo mengi tu
Nirudi kwako, ndugu thomas barbona , tushirikishe wazo lako la biashara, kama ilivyo, Hoja ya mleta mada ili👇👇👇 tuweze kujifunza pia.
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
 


TUPIGE KAZI (client)
 
Anatakiwa kijana mwenye wazo la Biashara linaloendana na taaluma yake ambapo anahakika litaleta faida, anitafute ni muunganishe; (faida watagawana kwa makubaliano)

Biashara iwe halali na isiwe ya Kilevi na pia isiwe mikopo umiza
Biashara ipo ya kuuza personal care products kwa wholesale tunaingiza mizigo kutoka viwanda vya hapa East Africa tunauza wholesale njoo uongeze mtaji tunakubaliana faida tugawaneje siku ukiona unahitaji pesa yako unachukua unaacha mtaji niliokuwa nao.

Karibu mkuu.
 
Biashara zinahusu app kwa Africa especially Tanzanian bado sana. Tusifanye mtoa pesa apate BP bure.
 
Kama unaona changamoto. Baki n wazo lako na yy pia abakie na pesa zake. Hapo mwisho mzuri Mbona
 
Poor and middle class people AVOID RISK, but rich people takes MORE RISK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…