Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Samahan naomba kufahamu ukiulizia Salio kwa NMB app mkononi unakatwa
 
Ni kweli chuo kikuu wanaoongoza kufeli ni hawa wa school bus?? Yani wa private schools vs public schools?? Private wanafeli sana kulinganisha na wanangu waliotoka shule za kata??
 
Ni kweli chuo kikuu wanaoongoza kufeli ni hawa wa school bus?? Yani wa private schools vs public schools?? Private wanafeli sana kulinganisha na wanangu waliotoka shule za kata??
bado haijajulikana ni nani anahusika na kifo chake , tusubiri uamuzi wa mahakama
 
kuna siku niko namsubiri jamaa atoke ATM niingie kutoa hela yangu kama elfu 50 hivi,hapo nilikuwa nasafisha kabisa acc hakibaki kitu.

jamaa akatoka akasahah risiti pale pale,mimi kufika nikaivuta,kucheki hivi jamaa katoa laki 3,ila kuna milion 97πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,kimoyo moyo nikasema,huyu jamaa kiazi kweli yaani anatoaje laki 3 na ana heka nyingi hivi??

kiukweli nikiwa na hela siwezi kuteseka,huwa nashindwa kabisa kuvumilia matesoπŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…