Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
Sema Tajiri mtarajiwa basi!☺️Acha zako tajiri 😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema Tajiri mtarajiwa basi!☺️Acha zako tajiri 😁
Akaunti ya euro aaaah wewe umeshaingia daraja la uchumi wa kati juu 😄Sema Tajiri mtarajiwa basi!☺️
Mpaka ya 💵 ipo ila kama hazina kitu na mimi ni wale wale tu!🥴Akaunti ya euro aaaah wewe umeshaingia daraja la uchumi wa kati juu 😄
We sema tu nichague kiwanja gani nikakusaidie kuzipasua tajiri 😄Mpaka ya 💵 ipo ila kama hazina kitu na mimi ni wale wale tu!🥴
Samahan naomba kufahamu ukiulizia Salio kwa NMB app mkononi unakatwaKijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.
Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.
Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?
Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?
View attachment 2881850
Hapa kwa mama ntilie wa jirani na nyumbani.😁We sema tu nichague kiwanja gani nikakusaidie kuzipasua tajiri 😄
Hapo terrace sio sawa tajiri 😁Hapa kwa mama ntilie wa jirani na nyumbani.😁
Terrace kama unalipa wewe.Hapo terrace sio sawa tajiri 😁
Hahahaaa mama asha atakuwa mama ntilie wa kishua anapokea euros 🔥Terrace kama unalipa wewe.
Kama nalipa mimi kwa Mama Asha panatufaa.
Mzee yaani libuku aka afu mojaNina 1000/= tu....kama savings, hii hatar sana ahsante kwa kunikumbusha mkuu...
bado haijajulikana ni nani anahusika na kifo chake , tusubiri uamuzi wa mahakamaNi kweli chuo kikuu wanaoongoza kufeli ni hawa wa school bus?? Yani wa private schools vs public schools?? Private wanafeli sana kulinganisha na wanangu waliotoka shule za kata??
Kampunyenye 😂😂bado haijajulikana ni nani anahusika na kifo chake , tusubiri uamuzi wa mahakama