Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.

Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?

Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?

View attachment 2881850
Samahan naomba kufahamu ukiulizia Salio kwa NMB app mkononi unakatwa
 
Ni kweli chuo kikuu wanaoongoza kufeli ni hawa wa school bus?? Yani wa private schools vs public schools?? Private wanafeli sana kulinganisha na wanangu waliotoka shule za kata??
 
Ni kweli chuo kikuu wanaoongoza kufeli ni hawa wa school bus?? Yani wa private schools vs public schools?? Private wanafeli sana kulinganisha na wanangu waliotoka shule za kata??
bado haijajulikana ni nani anahusika na kifo chake , tusubiri uamuzi wa mahakama
 
kuna siku niko namsubiri jamaa atoke ATM niingie kutoa hela yangu kama elfu 50 hivi,hapo nilikuwa nasafisha kabisa acc hakibaki kitu.

jamaa akatoka akasahah risiti pale pale,mimi kufika nikaivuta,kucheki hivi jamaa katoa laki 3,ila kuna milion 97😂😂😂,kimoyo moyo nikasema,huyu jamaa kiazi kweli yaani anatoaje laki 3 na ana heka nyingi hivi??

kiukweli nikiwa na hela siwezi kuteseka,huwa nashindwa kabisa kuvumilia mateso😂😂.
 
Back
Top Bottom