Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Angalia vizuri kabisa na simu nyingine ,kioo cha simu kwa nje nikaonekana.
 
Falsafa ya kwanza ya uwekaji akiba kwa pesa unazopata, iwe za mshahara au faida ya ujasiriamali au biashara; Weka akiba kwanza zinazobaki ndiyo tumia, usiseme unatumia kwanza zinazobaki ndiyo uweke akiba. Hutoweza.

Kama falsafa hiyo ya kwanza umeielewa, ukitaka kuelewa falsafa ya pili na tatu utauliza niziandike.

Kama hujaielewa hiyo ya kwanza usiulize kuhusu ya pili na ya tatu.
 
hii ni kweli kabisa sbb kuweka akiba ni ujasiri ambao sio kila mtu anao!
 
Mkopo wako wa NMB umesha ingia?
 
nimeielewa...andika zilizobakia
 
Nakushauri uiweke fixed account,,angalau ikuzalishie million 3 kwa mwaka au laki 250 kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…