Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.

Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?

Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?

View attachment 2881850
Zitunzeni sie tuzitumie kupata hela zaidi. Saving is a scam. Tunza asset.
 
Wapambanaji tupo,ila tu mipango na fursa halali zinatupitia kando,ila tukiamua kutafuta kivyovyote,hayo madeni ya songesha,nivushe,bustisha na akina kausha damu tupa kulee🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️
Hivi ni vitu vipo Tanzania mkuu?

Kweli Watanzania tunapenda kuibiana kila siku watu wanabuni mbinu mpya namna ya kuwanyonya wengine.
 
Akiba yangu ni mshahara ulioingia juzi sijautoa mazingira niliyopo ni mbali na mjini nategemea nitoe jmosi

Nikisha toa akiba imeisha
 
Back
Top Bottom