Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Hii January mzigo umeshuka sana.
20240125_122217.jpg
 
Wadau kwenye hizi Game watakwambia Income rather than Savings ndio itakuletea Wealthy..., Ingawa pia Cashflow is the King...; Wakati wote uwe na faranga standby ili ikija deal isikupite

Anyway mimi sio Mdau wala hili sio Game langu (ingawa logically they make sense)..., Wewe mwenye milioni 100,000,000/= ambaye hauna income ni bora mwenye income ya 1,000,000/= kwa mwezi..., everything being equal baada ya miezi mia moja huenda wewe ukawa unamuomba chumvi huyu mwenye 1m
 
Lakini Thomas hakuwa hapo wakati huo. Wanafunzi wenzake walimwambia kwamba walimwona Bwana, lakini Thomas alisema, "Nikiona alama za misumari mikononi mwake, na kuweka kidole changu ndani ya hizo alama, na kuweka mkono wangu katika ubavu wake, hapo ndipo nitakapomwamini."

amini hivyo tu mtumishi mpendwa sana Lamomy,
mwachie Tomaso yaliyo ya Tomaso...
Khaaa!! Kukwambia weka screenshot ndio umenishushia mzalendo 🤣🤣🤣
 
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.

Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?

Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?

View attachment 2881850
Rich people invest in money while poor people invest in time
 
Voda na SONGESHA yake hawana Baya.

Wananidai wananipa ofa halafu wanaichukua hapo hapo kufidia deni[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2882388View attachment 2882389
si mbaya mjuba,

pole pole ndio mwendo..
kidogo kidogo ndio mpango,

sio rahisi kwakweli,
inahitaji muda, subra na ustahimilivu, na,
kwa Neema na Baraka za Mungu inawezekana kabisa...

ile muhimu zaidi ni kuomba Mungu, kushukuru, kufanya bidii na kutokukata tamaa kabisa na bila tashwishwi yeyote atakufanyia wepesi na kukuonyesha njia na utafanikiwa....
 
Back
Top Bottom