Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

1706173594680.png

Huyu Mwamba kaua.
 
Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela.

Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza.

Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima?

Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani cha pesa?

View attachment 2881850
Hongera
 
Weka tuone, maneno kidogo screenshot ziwe nyingi 😜
Lakini Thomas hakuwa hapo wakati huo. Wanafunzi wenzake walimwambia kwamba walimwona Bwana, lakini Thomas alisema, "Nikiona alama za misumari mikononi mwake, na kuweka kidole changu ndani ya hizo alama, na kuweka mkono wangu katika ubavu wake, hapo ndipo nitakapomwamini."

amini hivyo tu mtumishi mpendwa sana Lamomy,
mwachie Tomaso yaliyo ya Tomaso...
 
Back
Top Bottom