Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

Kuna namna ndoa ikifikia ji heri kuachana tu;
1. An abusive partner, especially physical abuse.
2. Uchawi, ushirikina na vinavyofanana na hivyo.
3. Infidelity (ikithibitika pasi na shaka)
4. Attempt to kill, iwe kwa sumu, kupigwa etc
5. Kubambikiwa watoto

Vitu vya namna hii ukiweza kuvivumilia unahitaji uangalizi wa afya ya akili.
 
Kwa uelewa wangu,mada ipo sahihi ikiwa itasomwa kwa utulivu wa akili na msomaji awe na nia ya kuielewa.

Ikiwa baba wa familia ana miaka 40+ obviously alioa akiwa na 28/30 so kuishi na mtu miaka 10+ na usijue namna ya kumu-handle huko ndiyo kutokukua kwenyewe kiakili.
 
Mleta mada imagine umekuta ushahidi kuwa nimemchakata mbususu mkeo na anasifia show yangu anasema wewe huna lolote? Na baada ya kumkamata anasema “kama kazi yako huiwezi lazima usaidiwe”😂😂. Mkuu nimeweka theoretical scenario ili uimagine tu hiyo lack of maturity inasaidia watu kuepukana na jinai nyingi mkuu

Nawasilisha kwa utani. Ndoa ikishindikana watu waachane kwa wema
 
Kua uyaone.!

Kuacha mtu aende nao ni upendo.!

Mama akiona mateke yamezidi tumboni anamtapika mwana nyie mnaita kujifungua.!

Ukiwa unajua majibu kabla ya mwalimu darasa linakukataa

Simaanishi mwisho..! Usininukuu vibaya

But there is the price in each level

The offering means a lot
 
Kuna mzee wng mmoja aliwahi nambia kwamba ukiona ndoa imedumu sana ujuwe mume kaamua kujifanya bwege..

Leo ndy nimeamini..
 
Ni watu wachache wenye ukomavu wa akili tu ndio wanaoweza kukiri mapungufu ya gender zao.

Mi huwa nawaambia watu matatizo ya ndoa ni yale yale tangu zilipoanzishwa hizo ndoa,tusipretend kuwa ndoa zimeanza kusumbua kizazi hiki, tofauti ni kwamba wanawake wa kizazi hiki uvumilivu wa kuvumilia ujinga umepungua kwa kwa asilimia karibu 80.
 
Stupid thread. Kwa hiyo, watu wabaki kwenye toxic marriages hadi wafe, eti kisa wana 40 years?!

Maisha yanapaswa pia kuongozwa na natural, inborn instincts lakini cha kushangaza instincts hizo hizo ambazo zinamsukuma mtu kujilinda na kutafuta amani, nyie mnaziita “mental illness.

Kama unataka kufa siku si zako kaa kwenye marriage mbovu
 

Ni sahihi kabisa.

Wanaume sisi tukinyooka na kuwajibika kama wanaume, ndoa nyingi zitadumu.

Pia uko sahihi kuhusu wanawake wa sikuhizi. Ukiwazingua nao wanakuzingua. Sio kama Mama zetu na Mabibi zetu.
Imagine Mwanamke ana kipato chake. Hata akibaki mwenyewe anajimudu. Na pia Mahitaji utakuta mnasaidiana , alafu unamletea dharau za hapa na pale. Siku ukisema Nywiii na yeye anasema nyinyinywi.

Hata kwenye Kucheat, wanawake wengi wana cheat kwasababu ya kulipiza Kisasi.
Mwanamke anakufuma umetembe na beki 3, au rafik yake au jirani. Hata akikusamehe ujue na yeye ataenda kulombwa nje ndio aridhike.

Ila kama mwanaume usipo kuwa na heka heka. Ndoa ni Jambo zuri na maendeleo utayaona.
 
Wakati unaoa hukuona kuwa upo kwenye toxic relationship?

Shida kubwa ya waafrica hamna structure ya maisha

Watu kama wa Hindi ni rarely kukuta wana divorce , maana ili kuoa muhindi wana fanya vetting hasa nyie makanda mnaoa kwa makalio, sura na upuuzi mwingine

Mwanamke anatakiwa kuwa na sifa mbili tu
Elimu maadili huenda pamoja

Discipline na utulivu huenda pamoja

Kwangu divorce above 40 ni kukosa maturity na unaonekana mjinga maana ulioa bila kujua ukiemuoa
 
Hili swali lako hasa ndio linatoa jibu kwa nini ukiona mtu ana divorce umri huo muache tu. Kwa sababu hata huyo mhusika anakuwa amejiuliza hilo swali karibu mara 50, kama baada ya kujiuliza bado ameamua kuachana na mwenza wake we mwache tu
Ngoja nikutolee mfano mmoja hapa.

Ww una mume. Wote mna miaka 50.
Mna watoto. Mmejenga pamoja na mnakaa kwenu. Na mlibahatika kuwa na kiwanja Sehem fulani.

Ukaja kugundua mume wako ameuza kile kiwanja bila kukushirikisha.
Je utaomba talaka?.

Una miaka 55. Umegundua mume wako ana nyumba ndogo. Kaijengea na wamezaa mtoto.
Utaomba talaka?.
 

Na hii ndio Mwanaume anatakiwa kuwa.
Family over everthing.

Tukiteleza nje tuwaweke wazi tunaokuwa nao. Wajue nafasi zao.

Na tusiendekeze wanawake wa nje.

Mm nilishasema kama nikiamua kuwa na mwanamke nje na kuzaa nae. Yeye pia ni muhimu kumjengea na kuwa na mji wake.
Mali za ndani haziwahusu wa nje.

Kwahiyo kama hatuna wadhifa. Tusizae nje. Na kama tuna uwezo. Zaa na uumpe maisha mwanamke wa nje.

Sio unazalisha watoto watano nje. Matumizi hutumi. Alafu kutwa kucha unatetea kataa ndoa. Kumbe ww ndio muharibifu wa kwanza.

Kwasababu hauna uanaume ndani yako wa kuweza Kutunza Familia au mtoto hata mmoja.
ndoa utaiwezea wapi?.

Unazalisha . Unakimbia na hautoi matumizi.
Na hili group ndio Wanaume wengi kataa ndoa wamejificha nalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…