Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

Ila wa oman yeye ni sawa?
Tz kwenye inshu ya kuzingatia uraia tuko nyuma sana,wageni wataingia nchini kwetu na watatutawala watakavyo,waking ni sawa kumpa wampe tu...
 
Bashungwa ni Rwanda punguza shobo!

ana ukabila sana sana sana
 
Ramli ramli ramli
 
Tz kwenye inshu ya kuzingatia uraia tuko nyuma sana,wageni wataingia nchini kwetu na watatutawala watakavyo,waking ni sawa kumpa wampe tu...
Asili ya mtu haiwez kuwa kikwazo sana endapo akifanyiwa uchunguzi kibinadam na kugundulika kwamba hana connection na outsiders na ni mzalendo. Vinginevyo obama asingekalia kiti, vinginevyo waziri mkuu wa uingereza mwenye asili ya kihindi asingile kalia kiti. Vinginevyo hapo nchini mwako wenye asili ya uarabuni au usomali wote wasingekalia viti
 
Hakuna mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi hii
Kama Mwenyezi-Mungu akipanga, hata mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi ya Tanzania.

Kwani wewe ni nani mpaka uzuie mtu kutoka Kagera kuwa rais !!! Elewa kuwa wewe sio Mungu .
 
Mpango wa TISS ni Kafulila Bashungwa sio raia wa Tanzania
 
Kama Mwenyezi-Mungu akipanga, hata mtu kutoka Kagera anaweza kuwa rais wa nchi ya Tanzania.

Kwani wewe ni nani mpaka uzuie mtu kutoka Kagera kuwa rais !!! Elewa kuwa wewe sio Mungu .
Nina uhakika na hili ingwa mimi siyo Mungu. Kumbuka Nyerere alisemaje kuhusu kauli yangu.
 
Nina uhakika na hili ingwa mimi siyo Mungu. Kumbuka Nyerere alisemaje kuhusu kauli yangu.
Hata Nyerere sio Mungu . Labda tu alikuwa anawachukia watu waliobarikiwa .
 
Makonda ni ngosha kwahiyo sifa zinakataa. Hapa anaeandaliwa ni Inno na Mimi Nampa support kwa 100 % ni kijana mchapakazi , mzalendo na msafi Hana makando kando.
 
Sio mwingine Bali ni Kafulila!

Hiyo ni chenga ya mwili ya mama kuelekea 2025,counter balance ya kihisia Kwa Kanda pendwa Ili imuamini kwa upili ujao kutokana na tia maji tia maji zinazoendelea!!!
Ngoja tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…