Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

Sio raia huyo mtu wenu
 
Hata Nyerere sio Mungu . Labda tu alikuwa anawachukia watu waliobarikiwa .
😂😂😂 Eti Nyerere!!! Kwa hiyo wewe ukitaka kujua hatima yako unamuulizaga Nyerere??? Hakuna binadamu wa kupanga future ya binadamu mwenzake acha uzamani.
 
Wewe ndio unapaswa upewe pole kwa kumchukulia Nyerere kama Mungu wako maana amekufanya kuwa na fikra mgando .
Hii nchi ndo maana haiishi matatizo sababu watu wanaendeshwa na mihemuko na sio reasoning. Eti mtu anakwambia Nyerere alisema!!! Basi atwambie Nyerere alisema baada ya Samia ni nani anafuata kama Nyerere ndo anatupangia marais hadi sasa.
 
Ngoja tuone itakavyokuwa
 
Kama ni Kafulila watakuwa wamelamba bingo
 
Katika hiyo Kanda ya ziwa mtu pekee ambae anafaa kuwa kiongozi mkubwa wa nchi hii ni yule naibu katibu mkuu
Kijana pekee kutoka Kanda ya ziwa ambae anaweza kuwa Rais wa nchi hii ni yule naibu katibu mkuu pekee. Yule ambae mama yake alikuwa mwenyekiti wa kile kikao Cha Beijing...huyo pekee ndo mwanaume na nusu kutoka hiyo Kanda ya ziwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…