Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Asante kwa kuwakumbusha kaka zetu
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
 
Kipato cha juu vip?
Kipato cha juu pia majanga matumizi yao ni makubwa sana kwa hiyo utakuwa pesa unazopata zote unagharamia mambo yao ya luxury unabaki mweupe kisha unaanza tena hutoweza kupiga hatua kama kununua kiwanja na kujenga imagine utajisikiaje wakikwambia changia milioni moja kwa ajili ya kuandaa sherehe ya Happy birthday ambapo hiyo pesa ndio mshahara wako wa mwezi mzima.
Sanasana atakachokushauri mkeo cha maana atakwambia muhamie kwenye nyumba inayomilikiwa na mzazi wake ukikubali kuhamia umekwisha unageuka wewe ndio mwanamke na yeye ndio mwanaume mwenye sauti ndani ya nyumba.
 
Vipi kuhusu upendo wa kweli / Agape love ukilinganisha kwa wanaotoka kipato cha chini /kati / juuu? je wanawake wanatofautiana?
Kipato cha kati na juu kama hauna mawe ya kutosha aisee wana dharau kinyama,na kama una mawe omba Mungu usifirisike wanakuona kama mdudu tu.
So kote kuna faida na hasara zake aisee sio jambo la kuliwekea formula na kurahisisha
 
Sio kweli. Tajiri, mtu kati na maskini wote wanahitaji pesa. Tena wenye pesa wanahitaji pesa kubwa zaidi. Michango mikubwa mikubwa.
Maskini wanahitaji buku 10, buku 30, buku 50. Ukifikisha laki, unaabudiwa.
Familia zenye pesa au kipato cha kati sasa! Dah!
Watu wenye pesa sio wa mchezo mchezo!
Inaonekana kwa akili yako umejiandaa kuwa tegemezi au kuwa maskini.
Katika watu wote waliocomment wewe ndio umeelezea ukweli halisi.
Imeonyesha ni jinsi gani uko matured na uzoefu kuhusu haya mambo.
Wengine wanakaririshana vitu vya nadharia tu hawajui machungu yake wala madhara yake
 
Kipato cha juu pia majanga matumizi yao ni makubwa sana kwa hiyo utakuwa pesa unazopata zote unagharamia mambo yao ya luxury unabaki mweupe kisha unaanza tena hutoweza kupiga hatua kama kununua kiwanja na kujenga imagine utajisikiaje wakikwambia changia milioni moja kwa ajili ya kuandaa sherehe ya Happy birthday ambapo hiyo pesa ndio mshahara wako wa mwezi mzima.
Sanasana atakachokushauri mkeo cha maana atakwambia muhamie kwenye nyumba inayomilikiwa na mzazi wake ukikubali kuhamia umekwisha unageuka wewe ndio mwanamke na yeye ndio mwanaume mwenye sauti ndani ya nyumba.
Kwa ushauri huu Amina kwisha habar yake 🏃
 
Ila pia Kuna kuna hatari San pia kuoa ktk familia ya uchumi was Kati

Kuna jamaa angu mmoja alioa ktk familia ya Kati sas Kuna mdgo mtu na dad ake anaolewa wakaitwa kwa ajili ya michango yey jamaa alijipanga kwa laki mbili kumbee dad mkubwa nae kaja na mume wake jama wa dad mkubwa akahaidi kutoa milion moja Kama mchango ikafika zamu ya jamaa angu yey alijipanga na laki mbili dah bas bhna akabidi abadili gia angani kuwa laki tano na dah alilamika snaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamaa ilibidi mshahara wote aumalizie kwenye mchango wa harusi.
Ndio kitu niliwaambia watu kwenye comment yangu ukioa mwanamke ambaye sio level yako pia ni mateso unajifosi kwa kutumia nguvu nyingi sana ili uende nao sawa
 
Labda kama utavaa sura ya ukauzu...tegemea wageni nyumbani kwako au vinginevyo uwafukuze,, 2010 kuna sehemu niliwahi kuishi katika mazingira yale nikawa nimempenda dada mmoja wa kinyamwezi yule dada alikuwa ni mnene lakini alikuwa na mawowowo balaa..nikawa najilia mzigo kimyakimya sasa bwana baba wa yule binti akawa amefahamu sijui aliambiwa na nani kuwa yule mtaalamu jirani yako anamtomba binti yako............yaani unaambiwa yule mzee alivyokuwa akipata kiu ya pombe anakuja kukomaa kwangu mpaka nimpe hela ndio ataondoka [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nimecheka sana eti yule jirani mtaalamu anamtomba binti yako
 
nadhani ni tabia tu, nmeshuhudia mahali familia ina uwezo tu lakini inaomba msaada kwa mkwe
 
Kuna namna ya kufikiri siku hizi inadhihirisha jamii zetu hasa wazee na wajuvi wamepoteza uwezo wa kutransfer ufaham kwa vizaz vya chini.
Ona sasa Mleta mada hata hajui hata nini pa kuanzia. Hadi analinganisha ndoa kama bidhaa.
Kiukweli wanaume wameisha, ishu kidogo analalama lalama. kila kitu!( ndo hao wa .. ngoja tumuulize mama anasemaje!)
Ndoa ni kati ya watu wawili wapendanao me na ke.
Mkishirikiana kila mtu kwa nafas yake mambo ni rahis.
Nasisitiza mkuwe marafiki kwanza. La utaambulia kutumikana!
 
Kwa ushauri huu Amina kwisha habar yake [emoji125]
Hao wa kipato cha juu ni wazuri kula nao bata tu na mapenzi ya kusogeza siku mbele ila sio kupiga pingu za maisha.
Vinginevyo siku ukija kufirisika utafanyiwa dharau za waziwazi hadi utatamani ujiue kwa kunywa sumu maana zitakuwa zinakuja ndinga kali uwanjani kwako wanaume wenye pesa wanamchukua mkeo mbele ya macho yako na huna cha kuwafanya.
 
Back
Top Bottom