Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Hao wa kipato cha juu ni wazuri kula nao bata tu na mapenzi ya kusogeza siku mbele ila sio kupiga pingu za maisha.
Vinginevyo siku ukija kufirisika utafanyiwa dharau za waziwazi hadi utatamani ujiue kwa kunywa sumu maana zitakuwa zinakuja ndinga kali uwanjani kwako wanaume wenye pesa wanamchukua mkeo mbele ya macho yako na huna cha kuwafanya.
Hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja,hata hao wanaotoka familia za kipato cha chini wanaweza fanya huo ujinga
 
Back
Top Bottom