Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Kweli aisee kuna mmoja nilimtomba dada yake mara mbili tu si akajua aisee, mara akaanza kuniita shemeji tena hata mbele za wana. Sijakaa vizuri akaanza kunigongea hadi pesa ya msosi kwa mama lishe 😅😅😅
Jamani unatamka hivi kweli je uhalisia wako wewe SI unamdomo mchafu sana aisee hata taka la manispaa hafadhali
 
Labda kama utavaa sura ya ukauzu...tegemea wageni nyumbani kwako au vinginevyo uwafukuze,, 2010 kuna sehemu niliwahi kuishi katika mazingira yale nikawa nimempenda dada mmoja wa kinyamwezi yule dada alikuwa ni mnene lakini alikuwa na mawowowo balaa..nikawa najilia mzigo kimyakimya sasa bwana baba wa yule binti akawa amefahamu sijui aliambiwa na nani kuwa yule mtaalamu jirani yako anamtomba binti yako............yaani unaambiwa yule mzee alivyokuwa akipata kiu ya pombe anakuja kukomaa kwangu mpaka nimpe hela ndio ataondoka 😁😁😁
hahahahhahahahhahahahah boss kwanza hongera pili pole kwa kumpenda baba mkwe kisa una chetua mwanae basi una mtoa kidogo kidogo unadhani na yeye hataki kitonga kama wewe? humbu tufanye na wewe umechukuwa binti kihalali kwa ndoa unadhania baba akija dai hela ya bia na wewe ndani hamna hela ya unga uta toa? ndio mana tuna rudi kwenye point mishe zingine tuna zitaka wenyewe ulikuwa una mtoa mzee koz una juwa kuna jinsi ulikuwa una mhujumu binti yake na hutaki weka mambo wazi hahahahahahah.
 
Watakuelewa wachache sana
Matabaka hayatakiwi,

Masikini wataolewa na nani, na ilihali mwanaume masikini kukubaliwa na binti anayejiweza ni kasheshe, kwahiyo mnataka masikini waoane wao kwa wao?? hizo ni classes.

Tuchangamane tu

Na kuoa/kuolewa kisa kipato badala ya upendo,mwisho wa siku ni majuto.

Kama ni masikini na ananipenda pasi na shaka, naoa
Lakni sio nioe mtu kisa ni middle income au higher income alafu na hanipendi, WTF??.
 
Matabaka hayatakiwi,

Masikini wataolewa na nani, na ilihali mwanaume masikini kukubaliwa na binti anayejiweza ni kasheshe, kwahiyo mnataka masikini waoane wao kwa wao?? hizo ni classes.

Tuchangamane tu

Na kuoa/kuolewa kisa kipato badala ya upendo,mwisho wa siku ni majuto.

Kama ni masikini na ananipenda pasi na shaka, naoa
Lakni sio nioe mtu kisa ni middle income au higher income alafu na hanipendi, WTF??.
Masking ataolewa na mwanaume tajiri, wewe masking unaoa masking yeye mkeo Hana neon ila ndogo wanaweza kukuchosha na hence mkakosana na mkeo. Ndugu wataweza kukukondesha kuliko hata hiyo mkeo. Na ndugu pia wana weza kuwa wanamsema mkeo kuwa kwanini kakubali kuolewa na maskini
 
Kama changamoto za masikini huziwezi izo za kipato cha kati utaweza
Baba mkwe anakuambia kijana wangu nisaidie 30mil kuna tender nataka niimalizie hapa nikilipwa nakurudishia 😳
Mimi siyo bank, alikuwa wapi kujipanga. Je nisingeowa mwanae, asintanie. Ntasaidia napo weza
 
Ni kweli unasho sema ata mimi nilikuwa na demu wangu mmoja sasa ana dada yake ana mtoto nilikuwa nashangaa mtoto ana umwa walumpeleka hospitali wakawa wanadaiwa pesa nikashanga napigiwa simu mimi nilipe nikabaki najiuliza huyo mtoto si ana baba yake kwa nini wasimbie baba mtoto, shangazi zake, baba zake wadogo na wakubwa na bibi zake wote wameachwa naambiwa mimi nikawa najiuliza kwanini baadhi ya fimilia zinalea watoto vibaya , Nika kaa na kutafakari mbona mimi ndugu zangu na wazazi wangu hawa niombi pesa sana kuliko upande wa ndugu wa mpenzi wangu tokea siku hiyo nimejiapiza siwezi kuingia kwenye mahusiano na mwanamke kwao na ndugu zake wana njaaa.
Ni kweli kabisa ila watu si wanaongelea ushabiki tu, mtu utachelewa sana luendelea. Hata mimi nigekimbia, bora kuwa single mpaka upate mtu sahihi. Ila mech ndogo ndogo unapiga hata kwa kunnua🤣🤣
 
Sheria moja inasema kuwa ikitokea kama unatokea kipato cha chini au cha Kati , jitahidi wakati wakumchagua mtu wako asiwe wa level ya chini endapo ukiwa level ya chini...

Ikitokea upo level ya juu chagua ya chini lengo ni usisumbuke na matokeo ya siku za usoni
Haya mambo ya ndoa hayana formula...kitu cha muhimu na cha kuzingatia muwe na mtizamo sawa wa kidini na kimaisha....hayo mengine muombeni Baba wa Mbinguni atawafungulia njia
 
omba kupata mwanamke mwenye neema ya kufunguliwa milango ya kufikia hiko kipato.mbona mama zetu wameolewa kwao ni maskini na maisha tuliyonayo ni utajiri .
Siku zote ukiwa na mwanamke nuksi kwenye ziki utoboi hata kama kwao ni matajiri au maskini.
 
Back
Top Bottom