Kijana ukihitaji kuoa chagua mke kutoka kwenye familia ya kipato cha kati

Asante kwa kuwakumbusha kaka zetu
Kijana wa sasa ambae hujaoa ila pia unategemea kuoa unapokuwa unatafuta mwenza jitahidi uchague mwanamke anaetoka kwenye familia ya kipato cha kati, vinginevyo itakuwa unaendeleza umasikini au utafanywa mgodi.
 
Kipato cha juu vip?
Kipato cha juu pia majanga matumizi yao ni makubwa sana kwa hiyo utakuwa pesa unazopata zote unagharamia mambo yao ya luxury unabaki mweupe kisha unaanza tena hutoweza kupiga hatua kama kununua kiwanja na kujenga imagine utajisikiaje wakikwambia changia milioni moja kwa ajili ya kuandaa sherehe ya Happy birthday ambapo hiyo pesa ndio mshahara wako wa mwezi mzima.
Sanasana atakachokushauri mkeo cha maana atakwambia muhamie kwenye nyumba inayomilikiwa na mzazi wake ukikubali kuhamia umekwisha unageuka wewe ndio mwanamke na yeye ndio mwanaume mwenye sauti ndani ya nyumba.
 
Vipi kuhusu upendo wa kweli / Agape love ukilinganisha kwa wanaotoka kipato cha chini /kati / juuu? je wanawake wanatofautiana?
Kipato cha kati na juu kama hauna mawe ya kutosha aisee wana dharau kinyama,na kama una mawe omba Mungu usifirisike wanakuona kama mdudu tu.
So kote kuna faida na hasara zake aisee sio jambo la kuliwekea formula na kurahisisha
 
Katika watu wote waliocomment wewe ndio umeelezea ukweli halisi.
Imeonyesha ni jinsi gani uko matured na uzoefu kuhusu haya mambo.
Wengine wanakaririshana vitu vya nadharia tu hawajui machungu yake wala madhara yake
 
Kwa ushauri huu Amina kwisha habar yake 🏃
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Jamaa ilibidi mshahara wote aumalizie kwenye mchango wa harusi.
Ndio kitu niliwaambia watu kwenye comment yangu ukioa mwanamke ambaye sio level yako pia ni mateso unajifosi kwa kutumia nguvu nyingi sana ili uende nao sawa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nimecheka sana eti yule jirani mtaalamu anamtomba binti yako
 
nadhani ni tabia tu, nmeshuhudia mahali familia ina uwezo tu lakini inaomba msaada kwa mkwe
 
Kuna namna ya kufikiri siku hizi inadhihirisha jamii zetu hasa wazee na wajuvi wamepoteza uwezo wa kutransfer ufaham kwa vizaz vya chini.
Ona sasa Mleta mada hata hajui hata nini pa kuanzia. Hadi analinganisha ndoa kama bidhaa.
Kiukweli wanaume wameisha, ishu kidogo analalama lalama. kila kitu!( ndo hao wa .. ngoja tumuulize mama anasemaje!)
Ndoa ni kati ya watu wawili wapendanao me na ke.
Mkishirikiana kila mtu kwa nafas yake mambo ni rahis.
Nasisitiza mkuwe marafiki kwanza. La utaambulia kutumikana!
 
Kwa ushauri huu Amina kwisha habar yake [emoji125]
Hao wa kipato cha juu ni wazuri kula nao bata tu na mapenzi ya kusogeza siku mbele ila sio kupiga pingu za maisha.
Vinginevyo siku ukija kufirisika utafanyiwa dharau za waziwazi hadi utatamani ujiue kwa kunywa sumu maana zitakuwa zinakuja ndinga kali uwanjani kwako wanaume wenye pesa wanamchukua mkeo mbele ya macho yako na huna cha kuwafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…