Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Unahonga halafu hupewi dudu1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Halafu kawaida tuSio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.
Mbona Wazee tunahudumia,
Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜
NB; Jikune Mkono unapofikia
Babu unatuingiza chaka wajukuu zako, yaani gharama ya chakula iwe ndogo mkiwa wawili kuliko ukiwa peke yako.! mimi shilingi 5000 inanitosha kabisa kula siku nzima embu niambie nitaigawa vipi iyo kwa wawili, kumbuka mchana nakua kazini ambapo siwezi kula chakula cha nyumbani lazima ninunue.Ukioa unapata huduma nyingi ambazo Kwa sehemu kubwa zinakupunguzia Matumizi yasiyo ya lazima.
Angalia kwenye chakula, unatumia kiasi gani kula. Je hicho kiasi ukinunua chakula ndani na Mkeo hamuoni mtasevu sana?
Kwenye hiyo kununua Dada poa mnanunua wa quality ipi? Kama ni hao wa elfu 5 Tano, hata mkitumia kondomu bado mnapata UTI ambazo mnatibiwa Kwa hela nyingi.
Lakini mtatumia shilingi ngapi kuweza kukidhi mahitaji ya kimwili? Wengine tunatamani sex Kila baada ya Siku 3
Ina maana Kwa Mwezi utatumia zaidi ya shilingi 100,000 Kwa Mwezi
Hiyo hela unaweza kuinjoi sex Kwa Mkeo Mwezi mzima, labda Siku zile 5 za period tu
Oeni Vijana
Mimi sihudumii girlfriend, utaratibu wangu ni kwamba kama demu anafikiri kwa sababu ya kufanya sex basi ana haki ya kulipwa na mwanaume maana yake anajiuza kwaiyo tukubaliane bei twende lodge tukamalizane baada ya hapo no attachment, no billing.Hata huyo mpenzi wako unayemuhudumia muda wowote anaweza kuwa Mkeo, labda kama unao wengi uliowapanga hivyo kuwachukulia kama wauza Kei kama ulivyosema
Mkuu ujue hiyo mentality imewaaribu sana wanawake, yan unakuta mtu anajiona yuko very powerful and anaweza kuland anything simply kwasababu ana coochie besides that hakuna sehemu mnakutana hapo kaka watabaki kutulaumu tu kwakweli, I am not going to spend my band's to a woman ambaye hawezi kuwa na input yeyote besides her coochie...
Hahaha umeona every, hawa ma feminist wa kibongo wanapotosha sana wenzaoHuyu kakubali mwenyewe.
65.000 Aufrufe · 16.271 Reaktionen | 😁me nawapenda sana wanaume na ninawaombea sana Mungu awabariki wanaume wote wapambanaji🤗❤️ | KIMSOROOH
😁me nawapenda sana wanaume na ninawaombea sana Mungu awabariki wanaume wote wapambanaji🤗❤️.www.facebook.com
Nafatilia kwa makini hii hadithi . Ushamla mkuu ?Asante kwa ushauri...
naona vitoto vya 2000 vinajaa relini at a cheaper cost
#huyu nimemdanganya anitafutie mtu kwa kumtumia sms kumbe ananitumia mm mwenyewe[emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 3227108
Boss Nimecheka Kifala Yaani😁😁😁😁😁😁😁.
Starehe Gharama Kwa Wasukuma Kama Nyinyi.Starehe gharama,,,,kama huna pesa kaa mbali na starehe
Umesahau Na Kwenye Kugegeda Pia Umkojoze!Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.
Mbona Wazee tunahudumia,
Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜
NB; Jikune Mkono unapofikia
Pia Umesahau Mwanamke Ukimuhonga Anakuona Fala Fala Wake.Hapo ndo vijana mnapofeli, utasikia kitoto cha 2000 kinasema Nina mubaba wangu! Ujue kakikihoa tu fifty.
Mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.