Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

1. Ni bei ya Samaki kilo moja
2.Ni bei ya kuku wa nyama mmoja na chenchi inabaki
3.Unatoa mikeka 10 ya buku kwa mhindi
4. Sukari kilo 3
5. Dona kilo 4
6. Mchele super kilo 4
7. Maziwa ya Ng'ombe lita 4
8. Soda take away 10
9. Luku unit 28
10. Tofali za ujenzi 10
Unahonga halafu hupewi dudu
 
Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.

Mbona Wazee tunahudumia,

Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜

NB; Jikune Mkono unapofikia
Halafu kawaida tu
 
Nikupe Nmb au crdb? Ipi ipo karibu na wewe muda huu?
Umenisumbua sana naomba biz ifanyike tuendelee na issue zingine..!! 😹😹
Mixx by yas ndo iwe appetizer 😋, sitoingiza hogo, ntakua naipiga brash kwa juu juu Lamomy
 
Ukioa unapata huduma nyingi ambazo Kwa sehemu kubwa zinakupunguzia Matumizi yasiyo ya lazima.

Angalia kwenye chakula, unatumia kiasi gani kula. Je hicho kiasi ukinunua chakula ndani na Mkeo hamuoni mtasevu sana?

Kwenye hiyo kununua Dada poa mnanunua wa quality ipi? Kama ni hao wa elfu 5 Tano, hata mkitumia kondomu bado mnapata UTI ambazo mnatibiwa Kwa hela nyingi.

Lakini mtatumia shilingi ngapi kuweza kukidhi mahitaji ya kimwili? Wengine tunatamani sex Kila baada ya Siku 3

Ina maana Kwa Mwezi utatumia zaidi ya shilingi 100,000 Kwa Mwezi

Hiyo hela unaweza kuinjoi sex Kwa Mkeo Mwezi mzima, labda Siku zile 5 za period tu

Oeni Vijana
Babu unatuingiza chaka wajukuu zako, yaani gharama ya chakula iwe ndogo mkiwa wawili kuliko ukiwa peke yako.! mimi shilingi 5000 inanitosha kabisa kula siku nzima embu niambie nitaigawa vipi iyo kwa wawili, kumbuka mchana nakua kazini ambapo siwezi kula chakula cha nyumbani lazima ninunue.

Dada poa wa kiwango cha kawaida bei elekezi ni elfu 20 baada ya hapo no attachment, no billings. Kwa wiki inakua elfu 40 kwa mwezi 160K. Piga hesabu ya gharama ya kuhudumia mke/girlfriend kuanzia kula, kulala, kupendeza, posho ya sex, matibabu akiumwa, kumtoa out n.k.

Kumbuka pamoja na kuhudumia hauwezi kula mboga iyo iyo kila siku kwaiyo kuna kutenga bajeti ya kuchepuka pia lakini kununua dadapoa sio lazima awe uyo uyo kila siku.

Kumbuka hakuna guaranteed return ya uwekezaji wako kwa mwanamke. Feelings change, human get bored, heart chase fantasies and crave advanture, so your love can fall out of love with you at any given time without prior warning or any valid reason.

Kununua dadapoa kuna punguza gharama na risk ya kuingia hasara ukilinganisha na kumtunza mwanamke ambae na yeye ni kama anajiuza tu indirectly sema biashara yake amei-brand kwa jina la matunzo
 
Hata huyo mpenzi wako unayemuhudumia muda wowote anaweza kuwa Mkeo, labda kama unao wengi uliowapanga hivyo kuwachukulia kama wauza Kei kama ulivyosema
Mimi sihudumii girlfriend, utaratibu wangu ni kwamba kama demu anafikiri kwa sababu ya kufanya sex basi ana haki ya kulipwa na mwanaume maana yake anajiuza kwaiyo tukubaliane bei twende lodge tukamalizane baada ya hapo no attachment, no billing.
na kama ameridhia tuingie kwenye mahusiano ya kimapenzi basi yeye kama mtu mzima mwenye nguvu na akili timamu anawajibika kufanya kazi ajihudumie mahitaji yake. Love relationship is not ascaping route of your financial responsibilities
 
Mkuu ujue hiyo mentality imewaaribu sana wanawake, yan unakuta mtu anajiona yuko very powerful and anaweza kuland anything simply kwasababu ana coochie besides that hakuna sehemu mnakutana hapo kaka watabaki kutulaumu tu kwakweli, I am not going to spend my band's to a woman ambaye hawezi kuwa na input yeyote besides her coochie...

Huyu kakubali mwenyewe.

 
Sio kuhonga ni kumuhudumia mpenzi wako.

Mbona Wazee tunahudumia,

Lazima kuhakikisha msichana wako ameenda Saluni, umemnunulia gesi, umemlipia kisimbuzi, umemlipia Kodi ya nyumba bila kusahau kumlipia Kikoba, maana bila hivyo hautaweza kupewa vya uvunguni 😜

NB; Jikune Mkono unapofikia
Umesahau Na Kwenye Kugegeda Pia Umkojoze!
 
Hapo ndo vijana mnapofeli, utasikia kitoto cha 2000 kinasema Nina mubaba wangu! Ujue kakikihoa tu fifty.
Mwanaume ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
Pia Umesahau Mwanamke Ukimuhonga Anakuona Fala Fala Wake.
 
Back
Top Bottom