Ukioa unapata huduma nyingi ambazo Kwa sehemu kubwa zinakupunguzia Matumizi yasiyo ya lazima.
Angalia kwenye chakula, unatumia kiasi gani kula. Je hicho kiasi ukinunua chakula ndani na Mkeo hamuoni mtasevu sana?
Kwenye hiyo kununua Dada poa mnanunua wa quality ipi? Kama ni hao wa elfu 5 Tano, hata mkitumia kondomu bado mnapata UTI ambazo mnatibiwa Kwa hela nyingi.
Lakini mtatumia shilingi ngapi kuweza kukidhi mahitaji ya kimwili? Wengine tunatamani sex Kila baada ya Siku 3
Ina maana Kwa Mwezi utatumia zaidi ya shilingi 100,000 Kwa Mwezi
Hiyo hela unaweza kuinjoi sex Kwa Mkeo Mwezi mzima, labda Siku zile 5 za period tu
Oeni Vijana