Kijana ukihonga elfu kumi kumbuka haya yafuatayo

Dah mie nimetoka kuhonga 200k 😭😭😭😭😭
 
Hongereni sana.
 
siku 2 mbona ni kama mwaka yan unapotaka kujielezea tu Tayari umekwisha
 
Manesi na madaktari try at your own risk.
Inatakiwa ukubaliane na kuchapiwa,wao kuchapiwa ni inshu ndogo sana.
Hahaha.................have dated both

Kwahiyo have got experience on the two, labda Kwa kuwa ilikuwa ni Mwaka 47 😜
 
Mzee elimu ya darasani haija wahi kuwa Moja ya kigezo changu nyakati za kutafuta mwenza.

as long she is intelligent, ana hofu ya Mungu, muwazi na mshirika mzuri it's enough kwa upande wangu.

Maana binadamu hatuja kamilika, hivyo hayo mengine mna jengana kidogo kidogo.

Kuhusu sijui financial statement, zangu zita tosha kwa kuwa mimi ndiye kichwa Cha familia.

I have been a businessman since 18, nije kushindwa leoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimependa hiyo misimamo yako

Stick on them, success itakuwa mlangoni pako
 
πŸ˜‚khaaa! Nimewaongelea watoto wa elfu 2, mimi wa 80 hainihusu hiyo.
Hahahaha...............uzuri wake, Wazee tunaweza kuoga Maji ya moto ama ya vuguvugu

Nimeongea Kwa niaba ya Wazee wenzangu wote wa humu 😜
 
Shukrani Mkuu, japo bado tunapumua, lolote linaweza kutokea

Unakuta mtu anakuja kuchekupa at our 79s πŸ™ŒπŸ˜œ
πŸ˜„ πŸ˜„ sidhani,ila kwa hawa wetu,mmmh! ni changamoto, yaani inabidi sijui iweje,usaliti unafanya tusihudumie mazimamazima.Tuna hofu,hasa kwa hizi chalenji za mitandaoni zinavyotufunulia mambo,mmmh! inatisha sana.
 
πŸ˜„ πŸ˜„ sidhani,ila kwa hawa wetu,mmmh! ni changamoto, yaani inabidi sijui iweje,usaliti unafanya tusihudumie mazimamazima.Tuna hofu,hasa kwa hizi chalenji za mitandaoni zinavyotufunulia mambo,mmmh! inatisha sana.
Kwa kweli mna changamoto sana miaka hii

Mungu awasaidie

Vita mlizonazo ni vigumu kushinda pasipo msaada wa Mungu

Pelekeni kwake kilio chenu, mwambie Mungu unahitaji Mke wa namna gani

Kisha ukae unasubiri huku ukiendelea kuwafanyia screening hao marafiki zao wa kike ulionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…