Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu zangu salaam

Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.

Vijana wenzangu

Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.

1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika

2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala

3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa

4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa

5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako

6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye

7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake

8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu

9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali

10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu

11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi

12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu

13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.

14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.

16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa

17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako

18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe

19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic

20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena

21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani

22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali

23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.

24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika

25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea

Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
 
Labda wake zenu.....sie wengine tuna enjoy ndoa kuliko hata kipindi tupo mabachela,,,,inategemea uliingiaje kwenye chama na maamuzi ya kumpata huyo mwenzio uliyafanya vipi
 
Una hoja!

But that is our fate as men!
Angalia kwenye species nyingine, Simba, wadudu, ndege nk. Wanaume wanaishi kwa ajili ya kuhudumia pride ( wanawake na watoto) only. Ukiishiwa uwezo unakuwa-replaced!

Just find a way to be happy! Ndoa haipo kwa ajili ya kukupa Furaha Bali kutimiza lengo la uumbaji!

Now you know!
 
Hakika, umeandika vema sana.
#KATAANDOA
 
Pole sana kwa yaliyokukuta.

Tulikwambia usipende matako ukatuona sisi washamba.
 
Back
Top Bottom