zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Yaan ukipigwa kidole mkunduni na mkeo vumilia usirushe ngumi ni mkeo huyoNdo maana ukaitwa mwanaume ili upambane na hayo sio kukimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan ukipigwa kidole mkunduni na mkeo vumilia usirushe ngumi ni mkeo huyoNdo maana ukaitwa mwanaume ili upambane na hayo sio kukimbia
Mhuuu, hizi ni kanuni, misingi,Sheria au taratibu?Ndugu zangu salaam
Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.
Vijana wenzangu
Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.
1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika
2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala
3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa
4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa
5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako
6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye
7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake
8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu
9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali
10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu
11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi
12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu
13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.
14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake
15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.
16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa
17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako
18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe
19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic
20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena
21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani
22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali
23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.
24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika
25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea
Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
Kwa nyinyi wanaume dhaifu kabisa hayo lazima yawakute na hakuna rangi mtaacha kuona maana mmewaweka wake zenu kama ndio kapaumbele chako cha kwanza. Mimi siogopi kuvunja ndoa the moment mwanamke atakapoanza kuniletea hizo mbilinge. Sasa wewe na wenzako ambao wake zenu wanawafanyia vituko kama alivyovisema mleta mada mnavumilia kisa mmezeeka, au kipato kimeyumba ndio mnakuja kulialia jamvini hapa.Huyu kachukua madhila ya ujumla wanayofanyiwa wanandoa na wake zao majumbani mwao.
Kaeleza ukweli, ukweli mtupu.
Mojawapo kati ya aliyoyaeleza, lazima likupate mwanandoa.
Kama halijakupata mwanzoni mwa ndoa, basi litakupata katikati na kama halijakupata katikati basi litakupata mwishoni halafu ufe na kufa.
Utulivu wa ndoa yako unaouona sasa usiusifie sana, una sababu.
Yaweza kuwa ni kwa sababu ya kipato na nguvu za kimwili ulizonazo kwa sasa.
Lakini hayo yote yakipita, waweza kuziona rangi halisi za mke.
Kwa hiyo hata amani iwepo vipi katika maisha yako ya ndoa, ishi kwa tahadhari, maana majaribu hayo yapo.
Wapo wanaume wababa wazima wenye ujinga huo mkuu14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake
hapo badilisha iwe mama yake,wanaume hatunaga ujinga huo
Hakuna mahali nimesema mimi nafanyiwa haya madhila. Nimeweka ukweli vijana wajionee chungu ya ndoa.Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia kwenye ndoa yako. Mpaka hapo si utoe tu talaka maana utakufa kabla ya wakati wako.
Umeoa?Hakuna mahali nimesema mimi nafanyiwa haya madhila. Nimeweka ukweli vijana wajionee chungu ya ndoa.
KATAA NDOA WAPO SAHIHI SANA
NdiyoUmeoa?
Truth Mattersukweli unaoogopesha thank Lana hizi hazipokelewi kwenye Bible ila zinatisha Kama za Kumbukumbu la toratiUna hoja!
But that is our fate as men!
Angalia kwenye species nyingine, Simba, wadudu, ndege nk. Wanaume wanaishi kwa ajili ya kuhudumia pride ( wanawake na watoto) only. Ukiishiwa uwezo unakuwa-replaced!
Just find a way to be happy! Ndoa haipo kwa ajili ya kukupa Furaha Bali kutimiza lengo la uumbaji!
Now you know!
Silii lii na siwezi kufanyiwa huo ukuda nikavumilia kwa kisingizio chochote, never.Kwa nyinyi wanaume dhaifu kabisa hayo lazima yawakute na hakuna rangi mtaacha kuona maana mmewaweka wake zenu kama ndio kapaumbele chako cha kwanza. Mimi siogopi kuvunja ndoa the moment mwanamke atakapoanza kuniletea hizo mbilinge. Sasa wewe na wenzako ambao wake zenu wanawafanyia vituko kama alivyovisema mleta mada mnavumilia kisa mmezeeka, au kipato kimeyumba ndio mnakuja kulialia jamvini hapa.
Pathetic.
Ingia kwanza ili ukitoka unatoka mazimaDuuh!! Hizi paragraphs ni nzito sana hakika kuna wanawake ni hatari sana, mtu kama mimi ambaye bado sijaoa haya maandishi yanafanya nitafakari sana suala la kuoa 🤔
#Ndugu zangu salaam
Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.
Vijana wenzangu
Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.
1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika
2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala
3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa
4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa
5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako
6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye
7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake
8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu
9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali
10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu
11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi
12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu
13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.
14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake
15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.
16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa
17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako
18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe
19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic
20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena
21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani
22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali
23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.
24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika
25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea
Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
mkuu umetisha sanaa, sema ungetoa na suruhisho kwamba ukiona anakuonesha tabia flan nin kifanyike as negative reinforcementNdugu zangu salaam

Labda wake zenu.....sie wengine tuna enjoy ndoa kuliko hata kipindi tupo mabachela,,,,inategemea uliingiaje kwenye chama na maamuzi ya kumpata huyo mwenzio uliyafanya vipi
Sasa hapo nitakuwa nimefanya work done equals to zero mkuu maana kumbuka kuoa ni kutoa mahali 😃Ingia kwanza ili ukitoka unatoka mazima
Kwahiyo tuvunje ndoa? Thibitisha usemayo yapo?lNdugu zangu salaam