Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

Watu Kama nyie huwa mnapigiwa na hamjui, ukiamua Kuwa mwanaume wa kanuni ndoa changamoto sana, ukisema sichunguzi mke, ni nyepesi sana, unaamua tu kuishi kwenye mfumo, ila wanaume hiyo Hapana, mtoa mada anaongelea wanaume ambao hawatoki kwenye kanuni za kiumeni!
Hehe maamuzi ni yako na experience ni yako pia......usilazimishe experience zako au yaliyokua kichwani mwako basi ndo kwa kila mtu ni hivyo.....kama mnadondokeaga kwenye mizoga hizo ni shida zenu
 
Hiyo na 4 .hata wanawake wanalipitia sana Hilo ila wengi huvumilia ili kuficha aibu ya ndoa , halafu wanaume mkiwa na nguvu baadhi yenu mnanyanyasa wanawake kisaikologia sasa huwa wana vuta muda tu wakugeuza kibano😅😅😅 mpka mtu anakimbia nyumba
 
Duuh!! Hizi paragraphs ni nzito sana hakika kuna wanawake ni hatari sana, mtu kama mimi ambaye bado sijaoa haya maandishi yanafanya nitafakari sana suala la kuoa 🤔
Unataka kutomber au unataka kuoa?
Kutomber sio lazima uoe

Wekeni hii vichwani mwenu,, kwani mkiwala na kuwazalisha nani atakuja kuwalazimisha kuoa??
Au ndio mtaniambia kuwa Mungu hapendi??
Kama dini ndivyo inaelekeza hivyo ilikuwaje huyo Yesu hakuoa au yeye hakuwa sehemu ya utimilifu wa matakwa ya Mungu wenu?
 
Inategemea na aina ya mwanamke uliemwoa. But why kutishiana kuhusu ndoa kila siku?!
 
Ndugu zangu salaam

Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.

Vijana wenzangu

Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.

1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika

2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala

3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa

4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa

5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako

6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye

7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake

8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu

9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali

10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu

11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi

12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu

13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.

14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.

16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa

17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako

18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe

19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic

20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena

21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani

22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali

23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.

24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika

25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea

Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
Duuuh we jamaa mbona umeongea ukweli mtupu.
 
Labda wake zenu.....sie wengine tuna enjoy ndoa kuliko hata kipindi tupo mabachela,,,,inategemea uliingiaje kwenye chama na maamuzi ya kumpata huyo mwenzio uliyafanya vipi
Itakuwa changa hiyo, au upo slide time subiri mda ufike utatafuta namba ya mtoa mada na hutaipata
 
KWA KWELI MAISHA YA NDOA NI KWA WENYE MIOYO MIGUMU NA VIFUA VIPANA......

UKIONA KIFUA NA MOYO VINATAKA KUPASUKA.....KIMBIA USIANGALIE NYUMA......
 
Wanaume wote tunapata kimoja Kati ya hivyo ulivyoandika na wengine wanapata vyote

Shida yetu wanaume ni kujifanya everything is fine

Ila I'm sure ukiuliza watu ambao wameoa kuna namba moja hapo inamhusu

So umeongea vizuri umeandika vizuri Sana
 
Mwanaume anasifika Kwa vitu vikuu 3
1:kazi
2: Hela
3: utu wako Kwa wengine
Haya mengine yanajengeka kupitia Haya matendo 3,km kuna upungufu wa mojawapo jua kutakua na matatizo sana.
Ndoa ukiweza mlizisha mkeo vzr kitandani na unampatia 90% ya mahitaji yake maybe awe malaya otherwise hawezi kuzingua km haya 3 hapo juu unayo
 
First rule Hakikisha wakwe zako wanakuheshimu na kukuogopa weka mipaka migumu sana hata wakwe wasiweze kuikoromea .
Second rule hakikisha anakuita mkoloni faima .
 
Hehe maamuzi ni yako na experience ni yako pia......usilazimishe experience zako au yaliyokua kichwani mwako basi ndo kwa kila mtu ni hivyo.....kama mnadondokeaga kwenye mizoga hizo ni shida zenu

Upo sahihi, haya ndugu mwenye ndoa yenye mafanikio, na sisi tuko na mizoga! Shukrani, na Kila la heri Kaka!
 
Ndugu zangu salaam

Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.

Vijana wenzangu

Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.

1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika

2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala

3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa

4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa

5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako

6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye

7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake

8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu

9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali

10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu

11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi

12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu

13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.

14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.

16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa

17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako

18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe

19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic

20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena

21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani

22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali

23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.

24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika

25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea

Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
Mkuuu nikikalibia kuanza kupungua nguvu nishaandaaa heka 20 huko polin nanunua ngombe mbuzi kuku kondoo mbwa paka na wanyama wadogo wadogo wa kufugwa nikamalizie maisha yangu nikiwa single nikimuacha kwenye nyumba yangu ya million 200 mjini dar es salam

Shida manyanyaso sitaki mimi wanaume tunaishia vibaya sana Mungu atusaidie tupate wanawake sahihi aloo
 
Hilo la kutombewa liko wazi sana,nina shuhuda nyingi sana nilizoona kwa macho na kutenda pia zikidhihirisha ni kwa kiwango gani wake za watu wanawekwa dudu,nimekumbuka kuna mmoja ni mke wa mtu now anasoma Udom nilimuwekaaa mashine yake ikawa inatoa povu,sijamuacha bado,nipo nayeye mpaka uzee, kataeni ndoa
 
Ukweli mtupu!
Na wasikie na kuelewa!
 
Unataka kutomber au unataka kuoa?
Kutomber sio lazima uoe

Wekeni hii vichwani mwenu,, kwani mkiwala na kuwazalisha nani atakuja kuwalazimisha kuoa??
Au ndio mtaniambia kuwa Mungu hapendi??
Kama dini ndivyo inaelekeza hivyo ilikuwaje huyo Yesu hakuoa au yeye hakuwa sehemu ya utimilifu wa matakwa ya Mungu wenu?
Mmh! Hapa nakosa hata jibu la kukupatia mkuu.
 
Hilo la kutombewa liko wazi sana,nina shuhuda nyingi sana nilizoona kwa macho na kutenda pia zikidhihirisha ni kwa kiwango gani wake za watu wanawekwa dudu,nimekumbuka kuna mmoja ni mke wa mtu now anasoma Udom nilimuwekaaa mashine yake ikawa inatoa povu,sijamuacha bado,nipo nayeye mpaka uzee, kataeni ndoa
Duuh mkuu ulikamia nini.?
 
Back
Top Bottom