Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

dronedrake mjumbe apewe nafasi ya mwanachama wa kudumu pia apewe CHETI CHA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA KUWAOKOA WANAUME.

Mimi kama COMRADE WA CHAMA KUBWA KATAA NDOA.Nakupa salute🙌🙌🙌 umemaliza. Nakupa tena cheo wewe utakuwa ROLI MODO🤗

Vyote alivyoandika COMRADE ni ukweli mtupu usio na shaka ndani yake.

#KATAA NDOA KULINDA AFYA YA AKILI NA MWILI NA KUFURAHIA MAISHA!!!!
 
Una hoja!

But that is our fate as men!
Angalia kwenye species nyingine, Simba, wadudu, ndege nk. Wanaume wanaishi kwa ajili ya kuhudumia pride ( wanawake na watoto) only. Ukiishiwa uwezo unakuwa-replaced!

Just find a way to be happy! Ndoa haipo kwa ajili ya kukupa Furaha Bali kutimiza lengo la uumbaji!

Now you know!
Umemaliza kila kitu as a man u have to find your own happiness.

Ndomaana kuna watu wanamichepuko ya kutosha hii ndo happiness yao waheshimiwe.
 
Ndugu zangu salaam

Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.

Vijana wenzangu

Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.

1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika

2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala

3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa

4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa

5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako

6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye

7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake

8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu

9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali

10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu

11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi

12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu

13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.

14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.

16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa

17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako

18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe

19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic

20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena

21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani

22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali

23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.

24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika

25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea

Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
Vitisho tu hivi...
 
Kama umezaa nae na analea watoto ktk maadili mema,
Kwamba, akiondoka huna mbadala wa kukusaidia kulea hao watoto,
Kwamba, akiondoka nao anaweza kwenda kuwatelekeza kwa ndugu zake ambapo pana uwezekano wakaishi kwa manynyaso, hapo uchague moja, umvumilie hivyohivyo kwa ajili ya amani ya watoto au umtimue ufungulie mateso kwa watoto wako.
 
Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia kwenye ndoa yako. Mpaka hapo si utoe tu talaka maana utakufa kabla ya wakati wako.
Huyu kachukua madhila ya ujumla wanayofanyiwa wanandoa na wake zao majumbani mwao.

Kaeleza ukweli, ukweli mtupu.

Mojawapo kati ya aliyoyaeleza, lazima likupate mwanandoa.

Kama halijakupata mwanzoni mwa ndoa, basi litakupata katikati na kama halijakupata katikati basi litakupata mwishoni halafu ufe na kufa.

Utulivu wa ndoa yako unaouona sasa usiusifie sana, una sababu.

Yaweza kuwa ni kwa sababu ya kipato na nguvu za kimwili ulizonazo kwa sasa.

Lakini hayo yote yakipita, waweza kuziona rangi halisi za mke.

Kwa hiyo hata amani iwepo vipi katika maisha yako ya ndoa, ishi kwa tahadhari, maana majaribu hayo yapo.
 
Ndugu zangu salaam

Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.

Vijana wenzangu

Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.

1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika

2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala

3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa

4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa

5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako

6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye

7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake

8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu

9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali

10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu

11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi

12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu

13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.

14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.

16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa

17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako

18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe

19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic

20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena

21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani

22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali

23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.

24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika

25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea

Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
Kwani wenzetu mnaoa Wanawake wa wapi? Mbona mimi sikutani na haya mazonge mwaka wa 10 huu sasa
 
Una hoja!

But that is our fate as men!
Angalia kwenye species nyingine, Simba, wadudu, ndege nk. Wanaume wanaishi kwa ajili ya kuhudumia pride ( wanawake na watoto) only. Ukiishiwa uwezo unakuwa-replaced!

Just find a way to be happy! Ndoa haipo kwa ajili ya kukupa Furaha Bali kutimiza lengo la uumbaji!

Now you know!
Truth Matters
ukweli unaoogopesha thanks
Lana hizi hazipokelewi kwenye Bible ila zinatisha Kama za Kumbukumbu la torati sura ya 28
 
We
 
Unachokisema jamaa,uko sahihi 100% Mimi ndio nipo napitia sasaivi yaani mwanamke hashikiki,hataki tumalize tofauti zetu ,ukimuongelesha hakujibu ni week ya tatu sasaivi,nimefanya jitihada zakutaka kuongea nae ili kama Kuna tofauti zozote tuzimalize lakini hataki ni dharau mwanzo mwisho,hafanyi chochote ndani ni kila kitu anafanya mfanyakazi,sasa ajabu nikwamba Uzi wako umenipe nguvu yakumtimua huyu mwanamke na sasaivi nimetoka kukata ticket ya yeye, mfanyakazi na mtoto wangu waende kwako kwa babu yake na nimemuachia mtoto wangu kwasababu babo mdogo na hajaanza shule ila nitakua mnatumia matumizi mtoto wangu kila baada ya week Moja.Asante
 
Utapiga nyeto au utaanza kununua?
 
Ndugu zangu salaam

Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila kukicha wanalizwa sana na watoto wa buku mbili.

Vijana wenzangu

Ndoa za sasa hivi zimekua za kipuuzi sana mfano hakuna siyo kwa mwanamke ambaye hajasoma, darasa la saba, msomi , mwenye uchumi au anaejua maswala ya utandawazi au yasiyo ya utandawazi hakika hakuna rangi utaacha kuona mwanaume.

1: Kukosa amani ya moyo kwa kusababishiwa na mkeo kwa makusudi ili kupima misimamo yako, utapewa presha za bure taka usitake hakika

2: Maomivu ya moyo kutokana na mkeo kukupa stress zisizo na mpangilio kila siku, kukudhohofisha ili tuu aweze kukutawala

3: Kuchapiwa, utachapiwa mkeo na bado utakalishwa chini na wazee na kuambiwa kuchapiwa ni siri ya ndani jiangalie ulipomkosea mkeo na vumilia huo ndiyo ukubwa

4: Utanyanyaswa kimwili na kiroho, kulala njaa na kunyimwa unyumba ndiyo zitakua asante zake kwako baada ya kumuhudumia kwa kisingizio cha kuugua, uchovu au ugomvi au vyovyote vile mkeo atakavyopenda kukunyanyasa

5: Mwanamke atakua kinyume chako kwa kila kitu pia atakua ananukuu maongezi yako ili apate pakukuadhibia kisawaswa, haijalishi utaongea kwa wema au kwa utani atakunyoosha sana pindi akinukuu vibaya maongezi yako

6: Hela za mwanamke wako zitakua ni zake peke yake na ndugu zake. wewe hela zako zitakua zenu wote na ole wako usitoe hela utasaidiwa majukumu na vijana wa mjini kwa namna mkeo atakavyotaka yeye

7: Ukimpendezesha mkeo atatongozwa na atajiona alikosea kuolewa na wewe, atajiona ni mzuri bila kujua wewe ndiye uliyemfikisha hapo. Ataanza kukudharau na kuwapenda wa nje na wewe kubaki kuwa siyo type yake

8: Utasalitiwa kiroho na kimwili taka usitake kwa kisingizio cha kulipiwa kisasi iwe ulifanya baya au jema hakika utalipiziwa ni kitendo cha muda tuu

9: Mkeo akiwa mfanyakazi atamsikiliza boss wake na akiwa muumini wa dini kiongozi wake wa imani ( dini) kuliko wewe mume wake hao ndiyo watakuwa waume zake halali

10: Daima mkeo atakuona kikwazo kwenye uhuru wake na maendeleo yake binafsi. Ataona wewe ndiye unaye mkwamisha kwa kila kitu

11: Gubu halitokaa liishe hiyo ndiyo fimbo ya kuchapiwa wewe daima na milele kwa sababu kukupiga hawezi

12:Huyo mwanamke uliye muoa atataka akae kwenye nafasi yako akuongoze na kukufunga kauli kwa njia yeyote ile iwe hata ya kukuloga, kikubwa ni akutawale tuu

13: Mkeo atakuona una chukia ndugu zake , haijalishi ndugu zake watakuja kuleta uharibifu kwako ila daima atakuona wewe una chuki na ndugu zake pindi utakapoongea kusahihisha makosa ya ndugu zake.

14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

15: Mkeo atakuambia aliacha ndugu zake ili aje kwako hivyo hana chakupoteza kwako, hata ogopa kuachiaka kwasababu nyumbani aliambiwa hajafukuzwa, akishindwa huko kwenye ndoa kuliko aumizwe akirudi watampokea ni mwanao.

16: Mkeo atashindana na wewe daima taka usitake, atakua mbishi sana na mwenye malumbano na wewe mwanaume kuliko hata kabla hukumuoa, utii kwake utakua ni utumwa

17: Kuulizwa ulikua wapi , kwanini unanijia sasa hivi hiyo ndiyo salamu yake kwako pindi utakapochelewa kurudi nyumbani, haijalishi hata huko ulipokuwepo ulinusurika kupigwa risasi, uliopolewa kwenye ajali au ulikua matatani ila salamu yake utakua niambie ulikua wapi au ulikuwa kwa malayer zako

18: Utasusiwa na kususwa kwa kila hali, utadharauliwa na kunyong'onyeshwa daima na mkeo, mkeo hatokua na msaada na wewe

19: Mkeo atakutingisha sana kwa makusudi kwa kila kimbwanga na ukichechemea atakuona huna msimamo kama mwanaume, na ukiwa na msimamo atakuoana wewe ni mkoloni, mbabe na siyo romantic

20: Daima wewe mwanaume utanyonywa kila mahali na mkeo, utanyonywa kitandani na bado utanyonywa hela zako, utanyonywa akili yako na nguvu zako mpaka ubaki chakari mtupu hufai tena

21: Mkeo atakunafikia sana kuishi na wewe kwa upendo kwasababu bado hajapata kile anachokitaka kutoka kwako, siku akikipata popote pale ataondoka kwa dharau na kukuacha ukiwa hoi taabani

22: Ukikosa hela mkeo ataenda kudanga na ukiuliza atakuambia hakuna kitu unampa so ulitaka afanyaje wewe ni mwanaume gani, iga wanaume wenzako au wewe ni mwanaume suruali

23: Mkeo atakua ana kuuliza kila wakati ukifa utatuachaje, maombi yake yatakua daima ni weww ukifa utawaachaje, mbaya zaidi kama una mali atakuambia andika mirathi usije ukafa ukanisumbia tuteseke.

24: Watoto wako watakudharau, watakuona siyo kitu kwao, watampenda mama yao na kukuchukia wewe baba mzazi haijalishi ulishinda njaa ili wao wale pia ukizeeka watakuona wewe ni kero kwao na ikibidi watakutelekeza hakika

25: Huyo mkeo atafanya makosa daima na ukimwambia ukweli atayageuza kuwa ni makosa yako na wewe ndiye sababu ya yote hata kama ukiwa umekufa atageuza makosa yake kuwa yako na wewe kuwa ndiye sababu ya yeye kukosea

Kijana , kataa ndoa wanahoja sana kwa kizazi hiki cha sasa, wanawake siyo mama zetu, mama yako ni yule aliyekubeba tumboni kwake na kukuzaa wewe na wakati mwingine hata mama yako mzazi anaweza akwa siyo mama yako, jipendeni vijana jipendeni sana ndoa za sasa hivi hazina maana tena.
Najuiliza, bado upo hai? 🤔
 
Mwanaume ni mtawala ndani ya nyumba. Ukiona hayo yanakukuta ujue wewe sio mtawala.
Kuna kipindi mnataka mtawale km chizimkazi sijaona padri au imamu mwanamke kwanini hakuna hata mwanamke wa kurithi mikoba ya papa au askofu sababu ni nini mboni sijawahi kuona mwazini swala mwanamke?
 
14: Baba yake na mkeo atajiona ana nguvu kwenye ndoa yako, atapindisha mawasiliano na kuyapekeka direct kwa mkeo ili tuu uonekane sikitu siichochote kwa mwanae. Atafanya hivyo ili mkeo awe anakupa taarifa na siyo kuomba ruhusa kwako kama mume wake

hapo badilisha iwe mama yake,wanaume hatunaga ujinga huo
 
Back
Top Bottom