Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

Mhuuu, hizi ni kanuni, misingi,Sheria au taratibu?
Usiangaike jibu ni Upendo ule wa agape ......imeandikwa wanaume kuwapenda wake zetu.
 
Kwa nyinyi wanaume dhaifu kabisa hayo lazima yawakute na hakuna rangi mtaacha kuona maana mmewaweka wake zenu kama ndio kapaumbele chako cha kwanza. Mimi siogopi kuvunja ndoa the moment mwanamke atakapoanza kuniletea hizo mbilinge. Sasa wewe na wenzako ambao wake zenu wanawafanyia vituko kama alivyovisema mleta mada mnavumilia kisa mmezeeka, au kipato kimeyumba ndio mnakuja kulialia jamvini hapa.
Pathetic.
 
Wapo wanaume wababa wazima wenye ujinga huo mkuu
 
Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia kwenye ndoa yako. Mpaka hapo si utoe tu talaka maana utakufa kabla ya wakati wako.
Hakuna mahali nimesema mimi nafanyiwa haya madhila. Nimeweka ukweli vijana wajionee chungu ya ndoa.

KATAA NDOA WAPO SAHIHI SANA
 
Truth Mattersukweli unaoogopesha thank Lana hizi hazipokelewi kwenye Bible ila zinatisha Kama za Kumbukumbu la torati
 
Silii lii na siwezi kufanyiwa huo ukuda nikavumilia kwa kisingizio chochote, never.

Kutokuvumilia mambo hayo yatokee maishani mwako, mimi ama wewe hakuzuii mambo hayo kuwepo.
 
Duuh!! Hizi paragraphs ni nzito sana hakika kuna wanawake ni hatari sana, mtu kama mimi ambaye bado sijaoa haya maandishi yanafanya nitafakari sana suala la kuoa 🤔
Ingia kwanza ili ukitoka unatoka mazima
 
#
mkuu umetisha sanaa, sema ungetoa na suruhisho kwamba ukiona anakuonesha tabia flan nin kifanyike as negative reinforcement
 
Labda wake zenu.....sie wengine tuna enjoy ndoa kuliko hata kipindi tupo mabachela,,,,inategemea uliingiaje kwenye chama na maamuzi ya kumpata huyo mwenzio uliyafanya vipi

Watu Kama nyie huwa mnapigiwa na hamjui, ukiamua Kuwa mwanaume wa kanuni ndoa changamoto sana, ukisema sichunguzi mke, ni nyepesi sana, unaamua tu kuishi kwenye mfumo, ila wanaume hiyo Hapana, mtoa mada anaongelea wanaume ambao hawatoki kwenye kanuni za kiumeni!
 
Kwahiyo tuvunje ndoa? Thibitisha usemayo yapo?l
 
I am man, And I make the rules, Period.

Ambae hata taka kutii hizo Sheria, Atafute sehemu nyingine ya Kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…