Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

Tunao teseka kwenye ndoa ni sisi tulio oa watoto wa maa-single mother, wanadharau sana acha tu,
Kijana usijaribu kuoa mtoto wa single mother utajuta!
Muelewe Kuna tofauti kubwa sana kati ya mjane na single mother!
 
Kwahiyo hii kampeni yote yanini mkuu? Kumuogopesha kijana akatae ndoa atakae ulaini ulaini mwishowe wanaishia kuwa mashoga
 
Ndugu usijali utapona. Umeandika uzi mrefu kuwasengenya wanawake. Hakika kama nchi tuna janga kubwa sana la vijana kutojiamini.
 
Labda wake zenu.....sie wengine tuna enjoy ndoa kuliko hata kipindi tupo mabachela,,,,inategemea uliingiaje kwenye chama na maamuzi ya kumpata huyo mwenzio uliyafanya vipi
Sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…