Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu nataka kumroga.Kakufanyeje?
Kukua kua kwanza.Nitafutie kwanza connection ya kadada huko
Ndio.28yrs.. I'm still growing up??
40.Mpaka nifike ngapi sasa??
Hao ni masimp wamedanganywa mwanaume kuwa soft na kulegeza vigezo ili mwanamke awe comfortable ndio ugentleman.Nb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Mwanamke anae ambatana na mama yake huyo siyo mke..Rafiki wa binti ni mama yake, binti lazima awe anaandamana na mama yake zaidi
Huu ushauri wakipuuza basi tena.Salute
NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi.
Ningependa kuongea na vijana wenzangu hasa vijana wa 90s najua kipindi hichi wengi wenu mmefikia umri wa kuanziaha familia baada ya kujitafuta au ukiwa bado waendelea kujitafuta financially.
So kipindi hiki unatafuta life partner hasa kwa sie wagalatia ambao tukiweka tumeweka kama mabati ya chapa kiboko hamna kuachana basi jitahidi sana mwanamke unayetaka kuoa awe anakaa nyumbani kwao na kalelewa na wazazi wote wawili. Yaani wote wawe pamoja unless baba au mama alifariki recently (five years give or take)
Rafiki wa binti ni mama yake, binti lazima awe anaandamana na mama yake zaidi ili aweze kujifunza upishi, Malezi, heshima na maadili. Huku baba yake akiwa pembeni kumuongoza as kichwa cha familia.
Kama binti anaishi kwao kwenye familia iliyo na baba na mama lazima awe na misingi yote madhubuti ya Malezi.
Sasa imagine binti umekutana nae kwenye mwendokasi umempenda ukachukua namba wewe ukajaa ukatamani umfanye mkeo. Wakati huo anaishi zake mwenyewe geto... Kapanga anaishi mwenyewe hana ajira ya kueleweka labda yupo ofisi fulani. Anafanya tu mishen town.... My dear friend utajua hujui. Okopa sana mwanamke aliyepanga na anaishi mwenyewe kwenye majiji dume kama Dar, Arusha, Mwanza, Dodoma, Zanzibar, nk.
Atakua na shughuli zake ila lazima ziwepo za kando zinazohusisha wanaume(kudanga) angalua akiwa labda kapanga ajili ya kazi kwamba kahamishiwa eneo asilokua na ndugu au mbali na ofisi so anataka apange. Ila tu kama kapanga mwanangu usithubutu kuangukia ukijua umepata wife material unakua umepata stress material.
Binti inatakiwa akae nyumbani saa kumi nambili saa moja kasharudi nyumbani anafanya shughuli za nyumbani sio binti anazurura mpaka saa mbili for nothing hafu hakuna anayemuuliza nawewe unachukua unao... Litakukuta jambo bro!
Mwanamke inatakiwa unamchumua kutoka mikononi mwa wazazi/walezi wake wanakukabidhi unaenda kuishi nae as mke ndio inakua first experience ya kuishi mwenyewe nje ya nyumbani... Sasa unachukua mwanamke kashapanga mtaani miaka miwili mtaani afu unaoa. Hujipendi wewe tena mbaya zaidi awe age go... Utaipenda.
Mengine tutajuzana kwenye comment ila jambo la msingi, vijana mwanamke umtoe kwao sio geto na hakikisha nyote mmeanza mechi 0-0 hakuna mwenye mtoto unless nyote muwe na watoto.
Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie! Mapenzi yasikuchanganye... Ndoa ni zaidi ya hizo hisia zako za mapenzi ulizonazo kwa huyo my wakoView attachment 2876477
Kwani hakuelewi basi, anajitoa ufahamu tu.But sijasema kua talaka zipo. So una Propose kwamba watu waoe wanawake wanaoishi geto kisa tu hata kwa wanoishi na wazazi talaka zipo???
Mimi naamini 95% ya watu tuliomo humu wazazi wetu waliolewa wakitoka kwa wazazi wao.
THE 31 SACRED BRO CODES:Hao ni masimp wamedanganywa mwanaume kuwa soft na kulegeza vigezo ili mwanamke awe comfortable ndio ugentleman.
Uko sahih nashangaa saba mijitu inakuwa watetezNb. Nategemea kupata upinzani mkubwa kutoka mwa wanume... Since watetea haki za wanawake wengi ni wanaume ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ