Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Anaweza akatoka kwa wazazi wako akaja zibukia kwako ndo utajua ujui.
Bora uchukue gumegume lililomaliza yote likaamua kutulia huwa wakali sana kwa watoto wao wasipitie maisha machafu waliyopita wao.
Sasa kakaa kwao ana experience Gani ya life
 
Wazazi wangu wako Sumbawanga huko, mimi kiutafutaji nipo Mtwara, so unashauri niache kazi nirudi home kuambatana na huyo mama ili niolewe? Aisee sidhani kama hicho ni kigezo sana, kuna watu wanaishi na wazazi na hawana hizo sifa za uwaifu material hivo, na kuna anayekaa ghetto ila ni mstaarabu sana tu.

Mkifata hiki kigezo huu mwaka utapita tena bila bila dah😂, naacha kazi narudi Sumbawanga kuambatana na mama🙌
 
Mkifata hiki kigezo huu mwaka utapita tena bila bila dah[emoji23], naacha kazi narudi Sumbawanga kuambatana na mama[emoji119]
Oooh...! jamani Pisi Kali pole sana, njoo kwangu upate pumziko la milele ila uwe unaacha kitu kimoja kimoja geto hadi uhamie mazima.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wazazi wangu wako Sumbawanga huko, mimi kiutafutaji nipo Mtwara, so unashauri niache kazi nirudi home kuambatana na huyo mama ili niolewe? Aisee sidhani kama hicho ni kigezo sana, kuna watu wanaishi na wazazi na hawana hizo sifa za uwaifu material hivo, na kuna anayekaa ghetto ila ni mstaarabu sana tu.

Mkifata hiki kigezo huu mwaka utapita tena bila bila dah😂, naacha kazi narudi Sumbawanga kuambatana na mama🙌
Hivi una miaka mingap kwa sasa?
 
Ewe kijana usithubutu kuoa mwanamke aliywpanga Dar
 
Kwa mtazamo wangu,naona upo sahihi.
Vivyo hivyo na kijana wa kiume aliyelelewa na mama tu,pasi baba huyu naye ni angalizo kwa dada zetu wanaotaka ndoa.
 
Back
Top Bottom