Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mleta mada ana point kubwa sana... ila atapuuzwa...
Upo sahihi kabisa as always pisikali. As always...Oa mwanamke uliyevutiwa naye, mwenyewe UTU na utulivu. Kuhusu unamjuaje kuwa ana utu na utulivu, mi mwenyewe sjui 🤷🏻♀️ ndio maana mkapewa akili, Kinyume na hapo hamna rangi utaacha ona. Kila kitu hakina guarantee, ila a good person is a good person regardless.
Hata hivyo naunga mkono hoja, tatizo ni chances ziko ndogo sana, siki hizi tunaolewa tukiwa 25+ tumeenda mahali pengine kikazi/kibiashara, kwa mada hii tuseme ni salama kuoa binti mwenye 24-18 years ndio umri ambao mabinti wengi bado wapo nyumbani.
Wife nlikutana nae kitaa mida ya saa 2 jioni, nkapiga vase akajaa, nliamini nmepata zigo la kupiga na kusepa lakin akawa mke, sasa ni mwaka wa 7 hatujawahi tembezeana kichapo, kanizaliwa watoto wenye akili za nyumbani hadi za darasani.Salute
NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi.
Ningependa kuongea na vijana wenzangu hasa vijana wa 90s najua kipindi hichi wengi wenu mmefikia umri wa kuanziaha familia baada ya kujitafuta au ukiwa bado waendelea kujitafuta financially.
So kipindi hiki unatafuta life partner hasa kwa sie wagalatia ambao tukiweka tumeweka kama mabati ya chapa kiboko hamna kuachana basi jitahidi sana mwanamke unayetaka kuoa awe anakaa nyumbani kwao na kalelewa na wazazi wote wawili. Yaani wote wawe pamoja unless baba au mama alifariki recently (five years give or take)
Rafiki wa binti ni mama yake, binti lazima awe anaandamana na mama yake zaidi ili aweze kujifunza upishi, Malezi, heshima na maadili. Huku baba yake akiwa pembeni kumuongoza as kichwa cha familia.
Kama binti anaishi kwao kwenye familia iliyo na baba na mama lazima awe na misingi yote madhubuti ya Malezi.
Sasa imagine binti umekutana nae kwenye mwendokasi umempenda ukachukua namba wewe ukajaa ukatamani umfanye mkeo. Wakati huo anaishi zake mwenyewe geto... Kapanga anaishi mwenyewe hana ajira ya kueleweka labda yupo ofisi fulani. Anafanya tu mishen town.... My dear friend utajua hujui. Okopa sana mwanamke aliyepanga na anaishi mwenyewe kwenye majiji dume kama Dar, Arusha, Mwanza, Dodoma, Zanzibar, nk.
Atakua na shughuli zake ila lazima ziwepo za kando zinazohusisha wanaume(kudanga) angalua akiwa labda kapanga ajili ya kazi kwamba kahamishiwa eneo asilokua na ndugu au mbali na ofisi so anataka apange. Ila tu kama kapanga mwanangu usithubutu kuangukia ukijua umepata wife material unakua umepata stress material.
Binti inatakiwa akae nyumbani saa kumi nambili saa moja kasharudi nyumbani anafanya shughuli za nyumbani sio binti anazurura mpaka saa mbili for nothing hafu hakuna anayemuuliza nawewe unachukua unao... Litakukuta jambo bro!
Mwanamke inatakiwa unamchumua kutoka mikononi mwa wazazi/walezi wake wanakukabidhi unaenda kuishi nae as mke ndio inakua first experience ya kuishi mwenyewe nje ya nyumbani... Sasa unachukua mwanamke kashapanga mtaani miaka miwili mtaani afu unaoa. Hujipendi wewe tena mbaya zaidi awe age go... Utaipenda.
Mengine tutajuzana kwenye comment ila jambo la msingi, vijana mwanamke umtoe kwao sio geto na hakikisha nyote mmeanza mechi 0-0 hakuna mwenye mtoto unless nyote muwe na watoto.
Yangu ni hayo... Mwenye masikio na asikie! Mapenzi yasikuchanganye... Ndoa ni zaidi ya hizo hisia zako za mapenzi ulizonazo kwa huyo my wakoView attachment 2876477
Kwakua uhalisia kuhusu ndoa una siri sanaMleta mada ana point kubwa sana... ila atapuuzwa...
ustaafu ni subjective, is it? Mfano wewe ukinioa mimi unakuwa umeoa mstaafu. Ila shemeji yako haoni hivyo. Pita Kwa ma MC uone wanaoolewa.Upo sahihi kabisa as always pisikali. As always...
Shida inaanza pale me wanapoenda kuoa watu waliostafu🤣
Hautakiwi kuvumilia ndoa unatakiwa kufurahia ndoaIli ndoa idumu lazima mmoja avumilie ubwege was mwingine
Sasa hapo tatizo ni wanaume au wanawake wenyewe? Yeye mwanamke anajua yupo kwenye mahusiano inakuwaje anamvulia chupi mwanamume mwingine?Changamoto nyingi za 98% za mahusiano zinasababishwa na wanaume sisi wenyewe.
Unafahamu kabisa ni Mke wa mtu au ana mahusiano na mtu fulani lakini bado mtu huyo atajaribu kudanganya kwa kila namna ili airidhishe hali yake bila kumfikiria mwanaume mwenzake.
Tayana naona dogo anakuzeesha kabla ya wakati, eti 95 ni mpigania uhuru, wakati bibie mbichi kabisa🤣Okay
Kuna kamoja nilikakopesha kakataka kalete pigo za kunilipa kwa kunitunuku uchi, nilikadai mwanzo mwisho kakamaliza deni.Imagine watoto wa kike ikifika mida ya kulipa Kodi wanavyohaha Kwa wanaume. Wengi huchezewa kipindi Hicho cha bills
Mwanamke wa nightlife ni red flag tosha hafai kuwa mkeoa yule moyo wako umemridhia, awe wa kitambaa cheupe ama kwa Mwamposa.
Kwa hili na hichi ulicho andika umenyoosha maelezo vizuri sana.Waislam tuna wabeza ila linapokuja swala la ndoa kuna mambo mengi wanatuzidi na wako sahihi sana. Swala la mwanamke kua anatakiwa awe mama wa nyumbani mlea familia maana yeye ndio chanzo cha uhai ni sahihi sana.
Migogoro mingi kwenye ndoa inaanzia hapo mwanamke kuanza kuchukua nafasi ya kua mtafutaji wa familia badala ya mlea familia. Acha kabisa mawazo ya kutaka mke utakayesaidiana nae kiuchumi.. Stroke itakuhusu
Mkuu mzee,Sasa hapo tatizo ni wanaume au wanawake wenyewe? Yeye mwanamke anajua yupo kwenye mahusiano inakuwaje anamvulia chupi mwanamume mwingine?