Binti akiishi mwenyewe bila muongozo kupotea ni rahisi sana,na changamoto za mahusiano zimekuwa nyingi kwa sababu uoaji wa hovyo umekithiri vijana wanaoa wavuta shisha,wapigwa three some wadangaji etc bila kujua.
Binti akiwa chini ya familia hawezi kukaa nje ya nyumba mpaka saa nne usiku but akiwa na ghetto lake atakesha mpaka asubuhi sasa huko kukesha ndiko atavutishwa bangi,unga kunywa pombe kali na takataka nyengine akifika umri wa ku-settle akikutana na kijana innocent anamuektia utulivu akiingia ndoani ndipo mume anagundua kumbe alioa teja,levi na mal.aya.
Mimi hata nilikuwa sijui wala sijawahi kuwaza kama nao kuna watu huwa wanawaoa