Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

Sasa kama mtu kamkuta mwanamke ana uwezo au ana juhudi bora asimuoe. Akatafute wa level zake
 
Umeshasema mwanamke hana upendo wa dhati 100%,,,asilimia ambazo hazikamilishi huo upendo huoni kuwa ndo zinaweza kuwa chanzo cha matatizo...???
 
Mwenye masikio na asikie.
 
Umeshasema mwanamke hana upendo wa dhati 100%,,,asilimia ambazo hazikamilishi huo upendo huoni kuwa ndo zinaweza kuwa chanzo cha matatizo...???

Mwanamke anakuwa na matatizo asipokuwa anakusikiliza wewe. Na Mwanamke hawezi kukusikiliza kama hakuamini/Hana Imani na wewe
 
Mtasogoa mpaka mwisho wa Dahari lakin haya ni matokeo ya propaganda za mashetani kwamba kila kitu kiwe nusu kwa nusu kati ya wanawake na wanaume iwe kwenye dini, siasa, elimu, biashara, uchumi kazi nakadhalika.

Wenzenu kabla ya kuleta hizo propaganda walishafanya utafiti na wakaproof beyound any sense of Doubt. Mpaka wakati wa Yesu ama nabii issa. Wanawake walikuwa hata hawahesabiwi. Mfano kama kuna mkutano wakiwepo ukisikia walikuwa watu Mia mbili ujue ni wanaume wanawake walikuwa hawahesabiwi.

Sasa tunakubali hayo na tunaweka familia na kizazi rehani bila hata faida yoyote in exchange.

Kama mbadhani Mungu ni mbaguzi au mjinga mtajanijibu after 5years. Nimekaa paleee.
 

Umeongea ukweli Robert Heriel
Ila sasa shida ni kwa vijana waoaji, Je wanaishi kwa akili na hawa wake zao!?
Na wakati wa kuoa je? Wanachagua muonekano wa maumbile peke yake au!?
 
una akili kubwa mzee.. barikiwa sana mtumishi wa Mungu..
 
Umeongea ukweli Robert Heriel
Ila sasa shida ni kwa vijana waoaji, Je wanaishi kwa akili na hawa wake zao!?
Na wakati wa kuoa je? Wanachagua muonekano wa maumbile peke yake au!?

Wanapenda Uzuri wa maumbile, alafu wanasahau mambo ya msingi
 

Miaka Murano ni michache Sana mkuu
 
Umeandika ujinga tuu. Relate na matajiri njoo uandike tena, siku ukimshirikisha mkeo kwenye kitu chochote cha maendeleo hakika utakwama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…