Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

Kijana uliyeoa, hakuna njia nyingine ya kufanikiwa zaidi ya kuwa na umoja na ushirikiano na mkeo

Umeandika ujinga tuu. Relate na matajiri njoo uandike tena, siku ukimshirikisha mkeo kwenye kitu chochote cha maendeleo hakika utakwama
Wewe kubali tu ni failure kwenye mapenzi au unapataga mademu malaya malaya wanawake walio na akili za maisha wapo wa kutosha tu!
 
Umeongea ukweli Robert Heriel
Ila sasa shida ni kwa vijana waoaji, Je wanaishi kwa akili na hawa wake zao!?
Na wakati wa kuoa je? Wanachagua muonekano wa maumbile peke yake au!?
Ma D, uchaguzi wkt wa kuoa ni mgumu sana kwa kuwa kila upande hujaribu kuficha udhaifu wake - pili ndoa huwa nzuri miaka takriban 3 ya kwanza inayofuata dosari nyingi huanza kuibuka - lkn pia unaweza anza nae vzr na maadili yake yakawa poa lkn pindi anapoungana na makundi ya makurumbembe kwenye vikoba basi hapo shumari inaanza - tuombe Mungu atupe mwisho mwema.
 
Kwenye Maisha Mungu ana-operate Kwa 10% alafu Sisi tuna-operate Kwa 90%.
Hapo ndipo mtihani ulipo.
Yaani vile unavyoishi basi asilimia 90 umeamua wewe uishi hivyo au wazazi au Mazingira ndio yamekuathiri hivyo. Alafu 10 ndio Mungu kachangia.
 
Ila mkuu jogoo na beberu yanatamba yanapotaka kugegeda tu master.
 
Bahati mbaya sana wanaume huwa hawapendi kusikiliza sauti za wake zao, bali huwa Wana marafiki ambao ndio huwa wanawasikiliza na wamewajengea imani mno kwamba neno la rafiki ndio la kweli.....laiti wangelijua itakua too late
Real amazing, ukweli unaouma
 
Maisha hayana formula unawaza ukafwata yote haya na ukalambwa kichwa
 
Back
Top Bottom