Mitazamo hasi na vitisho kuhusu tabia Mbaya tulizonazo wanaume ndizo zinawatisha.
Ila tupo wanaume wazuri mno
Wazuri kutoka marsπππ
Wewe kubali tu ni failure kwenye mapenzi au unapataga mademu malaya malaya wanawake walio na akili za maisha wapo wa kutosha tu!Umeandika ujinga tuu. Relate na matajiri njoo uandike tena, siku ukimshirikisha mkeo kwenye kitu chochote cha maendeleo hakika utakwama
Ma D, uchaguzi wkt wa kuoa ni mgumu sana kwa kuwa kila upande hujaribu kuficha udhaifu wake - pili ndoa huwa nzuri miaka takriban 3 ya kwanza inayofuata dosari nyingi huanza kuibuka - lkn pia unaweza anza nae vzr na maadili yake yakawa poa lkn pindi anapoungana na makundi ya makurumbembe kwenye vikoba basi hapo shumari inaanza - tuombe Mungu atupe mwisho mwema.Umeongea ukweli Robert Heriel
Ila sasa shida ni kwa vijana waoaji, Je wanaishi kwa akili na hawa wake zao!?
Na wakati wa kuoa je? Wanachagua muonekano wa maumbile peke yake au!?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii mada haituhusu sisi Field Marshall bachelors?
Ma D, uchaguzi wkt wa kuoa ni mgumu sana kwa kuwa kila upande hujaribu kuficha udhaifu wake - pili ndoa huwa nzuri miaka takriban 3 ya kwanza inayofuata dosari nyingi huanza kuibuka - lkn pia unaweza anza nae vzr na maadili yake yakawa poa lkn pindi anapoungana na makundi ya makurumbembe kwenye vikoba basi hapo shumari inaanza - tuombe Mungu atupe mwisho mwema.
Ila mkuu jogoo na beberu yanatamba yanapotaka kugegeda tu master.
Real amazing, ukweli unaoumaBahati mbaya sana wanaume huwa hawapendi kusikiliza sauti za wake zao, bali huwa Wana marafiki ambao ndio huwa wanawasikiliza na wamewajengea imani mno kwamba neno la rafiki ndio la kweli.....laiti wangelijua itakua too late
Ongeza na wajibu wa mwanamke kwenye ndoaMitazamo hasi na vitisho kuhusu tabia Mbaya tulizonazo wanaume ndizo zinawatisha.
Ila tupo wanaume wazuri mno
Ongeza na wajibu wa mwanamke kwenye ndoa
Ahsante
Maisha hayana formula unawaza ukafwata yote haya na ukalambwa kichwa
Taikoni at work