Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

KATAA NDOA KWA NGUVU ZOTE

YANAYOENDELEA KWENYE NDOA NI MAUMIVU JAMANI YAANI STRESS TUPU

BORA UPWEKE KULIKO STRESS ZA KUJITAKIA
Unasema bora upweke kuliko stress za kujitakia sasa unadhani unaweza kutenganisha upweke na stress?
 
Kama ni mwanamke, wewe ni kiraka tu. Mchepuko. Kama ni mwanaume, wewe ni buzi tu. Coward. Huna sababu ya kuigiza maisha wanayoishi wanandoa halali. Badala ya kuwaza future na umoja na familia wewe unawaza ubinafsi na mali
Nakubali kuwa mimi ni kiraka,nimeziba nafasi iliyokua wazi ila sio mchepuko coz mimi ndie njia pekee anayopita mume wangu kipenzi.Tunaishi maisha yetu hatuigizi.

Ningekuwa siwazi future nisingechukua tahadhari itakayonisaidia nisipoteze jasho langu iwapo mimi na mwenzangu tutatengana in the future.
 
Mkuu samahani kidogo.
NItafurahi ikitambulika kwamba miimi sina minndset ya kutaka ndoa kama maonesho.Yaani kuolewa tu ili na wewe uitwe Mrs fulani.Sikumbuki ni wapi nimesema hivyo mkuu.

Nakumbuka nilisema watu wanatakiwa kuishi pamoja kwa sababu ya mapenzi tu.Wapendane na kuendana na sio kwa sababu nyingine yeyote ile.

Mali za wote zinapaswa kunufaisha wanafamilia wote ila sio sawa kusema tuolewe na mali kisa kuchukua tahadhari ya kutodhulumiwa iwapo ndoa itavunjika.
 
Asante sana kwa huu ufafanuzi mkuu.πŸ™
 
Uko sahihi kabisa mkuu,nakubaliana na wewe kwa yote ulosema hapa ila kuishi upweke nalo ni tatizo ndo mana nikashauri kuishi na mwenza kwa style itakayosaidia kuepuka changamoto hizo.
 
Yawezekana faida za ndoa zikawepo chache tu ila hii ya kufa bila msaada ni kufilisika kwa hoja ndani ya ya hiyo taasisi ya ndoa
kukataa ndoa na kukataa mahusiano ni jambo linaloelekeana. mtu anayetakiwa kutiliwa mashaka ni yule anayekataa kujihusisha na mahusiano/ndoa moja kwa moja.
 
Vijana wa 20s tukisema tunakataa ndoa ni kama mzaha tu, bado pilika za maisha hazijakolea vizuri, bado hata hatuujui upweke vizuri.
 
Jamaa kajua kukukamata yaani sogea tukae lakini unaamani na furaha hivyo siku mkifunga ndoa sijui itakuwaje inaonekana ulikuwa mpweke sana.
Kunikamata kweli kanikamata coz nampenda sana Mr. wangu na kweli kaleta furaha maishani mwangu na kweli nilikua mpweke kama unavyohisi na kweli natamani kweli kufunga ndoa na kuvaa shela na siku hiyo wangenikoma ila kwa ufafanuzi wa kisheria aliutoa mkuu Natafuta Ajira sidhani kama nitafunga ndoa.

NB:Mimi ndo sitaki ndoa ya kisheria ila mahari nishalipiwa.
 
kukataa ndoa na kukataa mahusiano ni jambo linaloelekeana. mtu anayetakiwa kutiliwa mashaka ni yule anayekataa kujihusisha na mahusiano/ndoa moja kwa moja.
 
Vijana wa 20s tukisema tunakataa ndoa ni kama mzaha tu, bado pilika za maisha hazijakolea vizuri, bado hata hatuujui upweke vizuri.
Na ni vyema kipindi hiki cha ujana wenu mkitumie kwanza kujenga maisha yenu,mu enjoy life,mpate muda wa kukosea na kujifunza,mkue kwa namna zote ndio suala la kuishi na mwenza lifuatie.
 
Naona leo kidogo umerudi kwenye uhalisia, the other day ulikuwa kwenye mihemko ya hatari!.
 
Naona leo kidogo umerudi kwenye uhalisia, the other day ulikuwa kwenye mihemko ya hatari!.
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
I was calm muda wote mkuu.
Ujue maandishi nayo yanaweza kusound ndivyo sivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…