Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Unaona sasa ndio maana nakwambia wewe ni mamluki.Kataa ndoa ni chama cha kipekee sana kipo decentralized wanachama ni selfcentered hawana njaa hiki chama hakijawahi kuchangisha hata thumni.

Humu kuna matajiri akina Jeff Benzo,Cr 7,Elon mask,Bill gate kajiugha juzi.Matajiri huku ni wengi na hakuna ombaomba.


Chama kina matawi dunia nzima na hakuna shobo za rejareja mikutano yetu tunafanya zoom.

Hizo hela uliwachangisha akina nani,acha utapeli wewe chama kina misingi imara na hakuna kima wakuibadilisha.

Wewe huna itikadi ni bendera fata upepo ukiwa na nyege unakimbilia kwa boyfriend( ambaye unamuita mume) ukiwa na makasiriko unajiita kataa ndoa.

Huku watu wapo na EMOTIONAL INTELIGENCE YA HALI YA JUU MNO.Mambo ya upweke unapataje wakati unashughuli za kufanya na ratiba tight.Na ukitaka kimasihara unalipia chapu unafanya yako unaendelea na mambo ya msingi.

Kataa ndoa hawana nyege mshindo,wanajimudi kipesa so kwao mapenzi sio ajira wala hisani ni starehe kama starehe nyingine.

📌KATAA NDOA HATUKUTAMBUI, WEWE TAFUTA PAKUFIA!!!
 
me nina experience direct na watu wazima ambao hawakuoa kabisa kwenye ujana wao. They regret nothing. They are living their best life currently. Upweke ni wewe mwenyewe unavyou-define.
 
Woga wako tu,mali alizokukuta nazo ama ulizomkuta nazo hazigawanywi,zinazogawanywa ni zile ambazo zimepatikana mkiwa ktk ndoa na mlishirikiana kwa namna moja ama nyingine,kwa sheria ya ndoa ya TZ
Huwa nasoma hili humu mara nyingi naelewa kuwa watu wengi hawajawahi kuwa kwenye kesi za divorce. Kuna mtazamo wa jumla jumla ati ya kuwa kila mali hugawanywa ni upotoshaji.

Hata mali za ndoa pia hazigawanywi kibabe na mahakama, ni mpaka wanandoa /wanaovunja ndoa wakubaliane, ndio maana wasipokubaliana kesi inaenda miaka na miaka.

Mahakama si mgawa mali bali mhakikisha mali zinagawanywa kwa haki. Kama kuna divorce lawyer humu aje atupe muongozo zaidi.

Tuko nje ya mada ya Prida tho.
 
Ndoa kama jambo la pamoja inapoteza maana, kwanini hizo mali walizochuma separate wakioana wasiunganishe ziwe za familia?

Naona heri wale wanaokataa ndoa tu, kuliko hizi ndoa za kuviziana zimekaa kitapeli.
Kwasababu sio haki kugawa mali ambayo haujashiriki kuitafuta. Mchakato wa kupata mali unaweza kuhusisha watu wengi wengine ila mali zikawa kwa jina lako Denoo. Mali kama hii itaguswaje during divorce?

Mfano mzuri mimi nimesaidiwa kujenga nyumba na mama yangu… Kwenye mali yangu kuna jasho la mzazi wangu ambaye si mzazi wa Mume wangu. Practically inaweza kumuhusu tukiwa tumeoana mfano tunapokea kodi, ila haiwezi muhusu tukiachana.

Simple.

Sheria zina maana nyuma yake.
 
Hata hujatoka nje sana.
Hebu shusheni nondo tujifunze ukute nashindwa kutimiza ndoto yangu ya kuvaa shela kwa kutokua na elimu sahihi.

Kataa ndoa wengi wanakufa vibudu kwa upweke kwa kuhofia tumali twao.
KIlio kikubwa cha kataa ndoa ni kutapelewa mali na wanawake.Wanasema ni scam.
Ni utapeli.
Ni laana.
Ni biashara ya wanawake.

Pia elimu yakutosha itasaidia wanawake wanaoolewa kuvizia mali wajue kuna uwezekano wa kuingia na mawigi na kutoka na mawigi hivyo wakiingia waingie kwa mapenzi na sio kwa nia nyingine ovu.
 
Tuanze lini na turudi lini sasa.?


Na tuombe kabisa mods tukija na parody watuumbue.
So no parody(kama lipo).
HIi ni kukuonyesha vile nakupenda na kukujali mdogo wangu.🙏🪷🌺
Come and calm my nerves pm
 
Kwamba kisa mama mzazi kakusaidia kujenga? Ila wanawake bwana?

Yaani unalinganisha msaada na maisha ulopewa na mumeo? Akili gani hizii?
 
Kwamba kisa mama mzazi kakusaidia kujenga? Ila wanawake bwana?

Yaani unalinganisha msaada na maisha ulopewa na mumeo? Akili gani hizii?
Mfano wa kwanza nilotaja mali kwa jina la Denno, una utofauti gani na mfano wa pili nilotaja mali kwa jina langu?

Umeignore mfano wa kwanza umerukia mfano wa pili unaonitaja mimi “mwanamke”

Please comprehend, comment nzima ilimaanisha mali zilizopatikana kabla ya ndoa kuna sababu kwanini huwa hazigawanywi!
 
Noo jamaa Kaongea point nzuri na ya msingi wewe kinacho kufanya ukumbatie hiyo nyumba in the name of kusidiwa ujenge ni nini? If it's for helping y'all na watoto kwa nini uwe na mentality ya kukumbatia!!!

Wanawake wengi mmekaa kitapeli tapeli sana.. Why y'all living in survival mode kila muda? Yaani mnachekesha sana. Hiyo nyumba mme wako Haku husika? Na hata kama Haku husika kwa nini isiwe yenu wote kwa sababu mnaishi wote?

Vipi mumeo angekuja na hiyo mindset??
 
Mwanaume kuoa ni upumbavu ushamba uwendazimu na kujifungia gerezani na pia kujimaliza kiuchumi.
Mwanaume umeletwa duniani kuinjoi viburudisho ambavyo ni wanawake, ndio maana watu wanasema Mwanamke ni chombo cha starehe.
Mwanaume umeletwa duniani kuzalisha tu, wanawake wapo wengi sasa wewe kwanini uwe mbinafsi umfungie mwanamke mmoja au wanne ndani?
KATAA NDOA NI UPUMBAVU NA KUPOTEZEANA MUDA
 
Hata sijui nifanyaje coz ni kweli nahofia tumali twangu na nahisi na yeye pia anahofia twake😮‍💨
Hii dhana ndio potoshi.

Ulikuja Dunian hauna kitu na utaondoka hauna kitu.
Wote wawili mkeheshimiana bas mtakaa kwa furaha pamoja. Iwe ni masikin au matajiri.

kushirikiana kwenye maisha kuko. Sembuse hii ya kwenye ndoa?.
Mali ni za watoto. Mkishaamua namna hiyo mtaishi kwa aman.

Alaf wanaume wanaoogopa ndoa kwa kusema watatapeliwa mali wakiachana . Hawana hata hizo mali 😊😊😊😊 ni kujipa moyo na propaganda yao ya kataa ndoa.

mm niko Team Ndoa
 
Yes, Nilipata hii eksipiriensi nikiwa nimehudhuria shauri la divorce ya kaka yangu wa kambo 2019, sikuwa nimekomaa sana kiakili lakini nilielewa baadhi ya vitu, ndio maana nimeomba wana sheria waje watuelezee kisheria since they know better.


Yes uwezekano wa kuingia na mawigi na kutoka na mawigi upo au kuingia na boxa na kutoka na boxa…… But under one circumstance kama hakuna kilichochumwa kipindi cha ndoa. (Matrimonial properties)

Kama huwa nawaelewa kataa ndoa vizuri; huwa wanapinga 50/50 katika mgawanyo wa mali (mali za ndoa) Sababu ya mchango wa kiuchumi katika kupatikana kwa hizo mali, Imagine mfano mtu mcheza mpira, analipwa mamilioni, ameoa mrembo amenyooka ambaye wamekubaliana awe stay at home mom, kazi yake ni kumfata mumewe mpirani Ikija divorce iweje mtu huyu atake 50? Mtu kama huyu yuko eligible kupata mgao ila sio 50 atleast kwa maoni yangu.
 
Nakubaliana na wewe 100%.
Cha msingi ni kutafuta njia salama yq kuishi na mwenza bila ndoa ya kisheriq.
Kuishi pekee sio sawa.
Natamani Prenup ingeanza kutumika Tz.
Hata hiyo prenup nayo ni mtego ikimkuta mwanaume hajakaa kitaalamu. Cha msingi kwa kuwa baadhi ya wanawake mshagundua sheria ya ndoa ni kandamizi kwa mwanaume. Basi unganisheni nguvu kuamasisha sheria ifumuliwe na kusukwa upya ili kuendana na zama hizi za usawa wa kijinsia, na sio kutaka mwanaume afanye gamble ya ndoa wakati mzizi wa tatizo bado upo. Masuala ya child support, custody, divorce alimony na mgawanyo wa mali yamaumiza sana wanaume.
 
Ushauri huu ungempa yule Demu wa Mengi anayeugulia kaburi
 
Unfortunately comprehension is rocket science for you. Huwa una manage vipi kumlisha mtu maneno ambayo hajayasema. Rudi kwenye comment yangu ya kwanza nimesema inaweza kumhusu katika circumstance ipi (nimetaja labda tunapokea kodi) na inaweza isimuhusu katika circumstance ipi (divorce)

Sizingumzii hisia nazungumzia sheria.

Ukitwist maneno yangu tena sitajibu……
 
Unadhani watu wengi wanaojiita kataa ndoa, na watu single, wanapenda kuwa single? Ni maisha tu yanawalazimisha kuwa hivyo

Kupata life partner mtakaeendana sio rahisi kwa watu wengi..tena mahusiano mengi sikuhizi yanaishia kwenye talking stage prida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…