Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Imekuuma hehe kamemchomaUzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
Inauma wana ,kuoa single mother hauna uhakika na jamaa yake kama wako vizuri au laah...Pia anakuwa mzoefu sana hawezi kukupena ,moyo uko kwa mtoto ndiye tegemeo lake.Watakuja.. mmoja mmoja watakusema..
Niongezee hapo, unaoa huyo mpigania uhuru akiwa na Mtoto wa Mwanaume mwenzio ambae yupo hai..
Mungu anaingiza mkono wake baada ya binadamu kufanya kile anachowajibika kukifanya, mfano una matarajio ya kuwa na watoto oa mwanamke mwenye umri mdogo ambae kizazi chake bado kipo active halafu baada ya hapo muombe Mungu akujalie watoto, sasa unaoa mwanamke wa miaka 30+ ambaye mayai yashakauka hapa ni kumpa Mungu kazi ya ziada.Uzuri we ni binadamu, Mungu ndio muamuzi wa yote
Imeniuma sana, najua maumivu ya wanawake ambao hawajaolewa...Imekuuma hehe kamemchoma
Na mtoto hauna Authority nae.. pia kuna safari za mara kwa mara Mtoto akamuone Baba ake.. au Baba amuone Mtoto wake..Inauma wana ,kuoa single mother hauna uhakika na jamaa yake kama wako vizuri au laah...Pia anakuwa mzoefu sana hawezi kukupena ,moyo uko kwa mtoto ndiye tegemeo lake.
Hii kali kumbe wanaume siku hizi wanaingia menopause?Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Ilo ni jambo ambalo linaeleweka sema kuna kasumba ya wanaume wa kisasa kutaka kuonekana gentleman kwa kujifanya wanafiki ili wanawake wawe comfortableInauma wana ,kuoa single mother hauna uhakika na jamaa yake kama wako vizuri au laah...Pia anakuwa mzoefu sana hawezi kukupena ,moyo uko kwa mtoto ndiye tegemeo lake.
Hii biology yalMungu anaingiza mkono wake baada ya binadamu kufanya kile anachowajibika kukifanya, mfano una matarajio ya kuwa na watoto oa mwanamke mwenye umri mdogo ambae kizazi chake bado kipo active halafu baada ya hapo muombe Mungu akujalie watoto, sasa unaoa mwanamke wa miaka 30+ ambaye mayai yashakauka hapa ni kumpa Mungu kazi ya ziada.
Sema usisahau kuwa na nguvu za kiume na kiuchumi maana muda huo huyo demu anakuwa anataka kula ujana wakati huo wewe unataka kuacha kula ujana ujenge uchumiNyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako kibaiolojia amekuzidi miaka mitano, mfano wewe una miaka 31 umeoa mwanamke mwenye miaka 29 kibaolojia mwanamke huyu kakuzidi miaka mitatu. Mtu yoyote akikuambia umri ni namba tu, uyo ni muongo. Huo ni msemo wa simps na 30+ wasted women.
Vilevile mwanamke anawahi kuingia menopause. Miaka 40 tu mwanamke tayari, wakati mwanaume menopause inaenda kukuta upo 55 uko. Utaweza vumilia kupata sex mara moja kila baada ya miezi miwili?
Umepambana peke ako bila msaada wa mwanamke yoyote, maisha yamekaa kwenye mstari then go for 18-23 young women with innocence and possibly virginity. Don't settle for 30+ woman that has been overused and went through so many relationship heartbreaks which made her toxic .
Hivi utajisikiaje nikikuuzia volvo ya mwaka 95 kwa bei ambayo unaweza kupata mercedes GLC 300? iyo ndio biashara utakayoifanya kijana wa kiume ukioa mwanamke wa miaka 30+
By marrying a retired veteran you are not getting value for your money. You didn't hustle bulding your life to end up with a left-over.
Don't be a simp.
Why baba mkwe,Binafsi ningekua na mpango wa kuoa ningeoa mwanamke mwenye kuanzia miaka 30 nakuendelea , mtoto wa 18 na 20 huyo Shitakua na hata cha kuongea nae zaidi ya kukizagamua tu mwisho wa siku home kutaboa nitashinda bar bure.