Issue sio mtu wa karibu mimi kwanza nilivyo hata nikute mtoto wa jirani yangu haeleweki nawajibika km mzazi wake..!!Ni rahisi kusema Sababu sio mtu wako wa karibu,
Angekua wangu wala nisingehangaika maana jana usiku Angela la juu ya kenchi amembea tena bila kula.
Yes tuwe na urafiki na watoto wetuMuda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Endelea kumtia huyo mke wa rafiki yako.Aisee,una kichwa kigumu kuelewa wewe.
Basi achana na mambo ya watu maana huna msaada hapo.Huyu bwana mdogo ananikosea sana.
Mtoto sio wangu nahangaika kuokoa kizazi cha Rafiki yangu siwezi Piga mtoto wa mwenzangu akinifia? Siwezi peleka polisi akipata shida,na siwezi mwambia Rafiki yangu maana mkewe amekataa.
Wewe akili umeiacha wapi wkt unaandika comment yako?!wapare bhanaUpumbavu unaanzia hapa.
Kwann jina halijatajwa?
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Anaogopa anaweza mvuruga dogo akafanya vibaya mitihani.Darasa la mtihani lina maana gani? Achana na mambo ya mtihani ambao hauna maana hata akimaliza atatembea na vyeti mapambo. Tumia njia yoyote ujue huyo mhalifu hata kama ni kumpeleka mtoto dawati. Mambo mengine ya shule ni baadae
100%Kumbe ww ni mjinga kiasi hiki?
Kabla ya kufanya jambo huwa najiuliza zaidi ya Mara 3,Huyo mtoto wanamchekea, na wazazi nao wajinga akiwemo mleta uzi…!!
Hii tabia ya kuwaonea huruma kina junia kila kitu mpk muwauulize kwa kuwabembeleza hii sio America..!!
Mitoto ya kitanzania hahitaji aina ya malezi hayo..!
Aisee leo nimekuheshimu sana sababu kingekupata kitu binti yangu.Basi achana na mambo ya watu maana huna msaada hapo.
Asante,Mungu akubarikiEndelea kumtia huyo mke wa rafiki yako.
Wanaboa sana,kwenye mambo critical wanaleta utani wa vijiweni.Dah watu humu JF wanatoa comments chafu kwa sababu hayajawakuta
The community is so toxic nowdays, yani mtu ana stress za maisha anakuja kuzimalizia humu jukwaani. Watanzania sijui tumekuwaje siku hizi
Wewe kenge umeshindwa kumwokoa mtoto kwenye kulawitiwa unakuja JF kupiga siasa.. pumbavu sana. Mwanaume mzima unaogopa kuchukua hatua.. jinga sana.Kabla ya kufanya jambo huwa najiuliza zaidi ya Mara 3,
Aisee leo nimekuheshimu sana sababu kingekupata kitu binti yangu.
Asante sana.Wewe kenge umeshindwa kumwokoa mtoto kwenye kulawitiwa unakuja JF kupiga siasa.. pumbavu sana. Mwanaume mzima unaogopa kuchukua hatua.. jinga sana.
Bado hata sijazungumzanae Ndio kwanza natafuta ushauri Namba ya kuliendea hili jambo.Issue sio mtu wa karibu mimi kwanza nilivyo hata nikute mtoto wa jirani yangu haeleweki nawajibika km mzazi wake..!!
Huyo mke wa rafiki yako amekuamini lakini wewe umemuangusha, mtoto wa std seven ni mkubwa anaweza kujieleza nawashangaa mnavyombembeleza hamuoni mtuhumiwa atakimbia??
Km lipo nje ya uwezo wako basi ongea na rafiki yako kiume na muelezee mambo yalivyo..!!Bado hata sijazungumzanae Ndio kwanza natafuta ushauri Namba ya kuliendea hili jambo.
Kumbuka sio mtoto wangu, Naogopa kufanya fully capacity.
Siwezi Piga huyu kijana babà yake akirudi asiporidhika na hatua nilizochukua itakuwaje?
Una mtoto?Muda wote mzazi uso umeukunja, kufokea watoto hovyo hata mtoto anapopata changamoto anashindwa kusema.
Kweli aisee.... Bongo wapumbavu ni wengi mnoWanaboa sana,kwenye mambo critical wanaleta utani wa vijiweni.
Hii nchi yetu ina wapumbavu wengi mno.
Mimi ningekuwepo hapo kwenu ndio mgejua nini maana ya adhabu!Wadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.
Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio kuna mtu anamfanyia kitendo hiko tangu mwezi wa 5 lakini hakumtaja jina.
Huyu mtoti ni wa darasa la mtihani,nawaza namna sahihi ya kushughulikia hiki jambo kwa utulivu ili mambo yasiraribike.
Hatua nilizochukua:
Nilimpigia polisi wa kituo cha karibu akanishauri niongee na mtoto kama hatasema nimpeleke kituoni kwa kibano zaidi amtaje mubusika.
Dawati la jamii wakanishauri niongee na mtoto wa urafiki atataja tu ili tuweze kumsaidia.
Nifungueni kichwa kimejam,naomba ushauri.
Ukitukana, litakukuta jambo:
Aione Dkt. Gwajima D
Kumbuka sio mtoto wangu, Naogopa kufanya fully capacity.
Siwezi Piga huyu kijana babà yake akirudi asiporidhika na hatua nilizochukua itakuwaje?
Walimu tumeingiaje hapo, vipi ndugu , majirani , vijana wa mtaani?Ushauri ni huo mfanye mtoto kuwa rafiki yako halafu muulize kwa upole na upendo atamtaja tu huyo muhusika.
Mara nyingi unaweza kukuta hata kitendo hicho anafanyiwa na mwalimu wake halafu anatishiwa maisha maana matukio kama haya ya walimu kulawiti watoto yamekuwa yakiripotiwa kwa wingi.
Inaumiza sana aise mtoto kufanyiwa ukatili wa namna hiyo.
Ukishindwa kupata jawabu sahihi naomba nishirikishe ili tuone namna nzuri ya kumsaidia mtoto.