Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
- Thread starter
-
- #21
Ni sawa kutiliwa mashaka😂😂😂Kuna Uzi wako watu walikutilia mashaka sana, muda utaamua tu kama masega bado yapo
Ndio naufahamu nani asiyefahamu ulawiti na usodoma?Vipi kuhusu mchezo wa kupumuliwa au kuhemewa, wenyewe unaufahamu?
😂😂😂😂AlooooohKiufupi jamaa anajipenda
Vipo vitu navovipendaSasa wewe unapenda nini mkuu?
Aloooooh😂😂😂Hata michezo ya wanawake siipendi pia volleyball sijui nn hata sizipendi wala kuzifuatilia
So.... It isn't what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy, right....😟Siwish kwakweli kwasababu hivo vitu vyote ni passion namm hiko kitu ndo nimekosa
Im happy but I just wonder people cannot understand some are just born differentSo.... It isn't what you have or who you are or where you are or what you are doing that makes you happy or unhappy, right....😟
Wewe una shida yaani kina messi na cristiano! Kuna pacome, kuna bayer 04 leverkusen huwajui ila hao wachezaji mashoga ndio unawajua!Si kweli labda nilikua natetea mawazo huru! siwezi tetea iko kitu
Lakin mi kuna wachezaji na wafuatiliaji mpira na ndondi ni mapunga nawajua.
So hiyo si hoja
Sawa sikupingi ni mawazo yako!Wewe una shida yaani kina messi na cristiano! Kuna pacome, kuna bayer 04 leverkusen huwajui ila hao wachezaji mashoga ndio unawajua!
Acha kutusumbua akili wewe ni shoga moja kwa moja bila kupepesa macho.
Aah mkuu hapa nimekupataIshi maisha yako Mzee Tena utumie akili kuishi na kitu kinachoitwa binaadamu,la sivyo utakuwa mtumwa wa mawazo ya watu wanaokuzunguka mpaka unaondoka katika uso wa Dunia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni wewe in short sipendi shobo na watu sishoboki na usinishobokeePia Si mpenzi wa pombe wala mikutano na watu.Sitaki watu wajue kwangu pia
Yaan hapo 🤝🤝🤝chuma kwa chuma AlaaahMimi ni WEWE in short sipendi shobo na watu sishoboki na usinishobokee
Hivi humjui messi au cristiano halafu wachezaji mashoga na wanamichezo mashoga unawajua,ulikuwa unatafuta nini kwao huko? Just imagine ...shida ipo hapo mdogo wanguSawa sikupingi ni mawazo yako!
Lakini punguza hasira😂😂😂watu kama nyie si rahisi kuelewa
Kwaiyo mtu ambae hamjui messi au christiano ni shoga😂😂😂Aloooo hii nchi Isaidiwe
aahh kweli babuSio lazima upende hivyo vitu, ishi maisha yako