Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Mwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaa
Binafsi tangu kuanza kwangu kutafuta maisha sijawahi kutana na fursa ya namna hii na.laiti ingenikuta kitu ya namna hii miaka hiyo Nawahakikishia Leo nisingekua na uchumi nilio nao sasa. Lakini kuna mtu haoni hili.
 
Mashamba huko yanauzwa laki 2 hadi 4 kwa hekari moja.

Hili suala la kusema kijana anaweza kupanda na kufuga: hapa akianza kufanikiwa boss ataanza kutamani na kumletea figisu asilime ama kufuga.

Au atamruhusu vizuri ila atakuwa anachukua mazao shambani hadi kero.
Bosi yupi huyo? alienunua shamba akaenda jenga huko nyumba aje achukue mazao yako?

anaekulisha bure
anaekulipa na mshahara
hakudai chochote

ulime achukue mazao yako, Heka mbili utavuna nini atakachochukua ? umesoma vizuri ukubwa wa shamba?

Heka mbili utavuna nini ambacho kitamtamanisha huyo unaemuita Bosi?
 
Ila Mkuranga toka niuze kiwanja changu cha Vikindu sipatamani kabisa.

Kibaha, Kisarawe, Chalinze na Bagamoyo ndizo Halmashauri ninazikubali
Mkuranga kama wilaya, usinunua kiwanja.. Yani eneo linalochangamka (suburban) utakaa na majirani wanga, wakutupie majini uchabganyikiwe. Kanunua shamba ulime mkuu.

Viwanja mda huu kigamboni ni kumetulia... Nimetoka kulipiga juzi tu hapo milioni 2.5 mwasonga. Kuzuri tu na Bado vipo
 
Binafsi tangu kuanza kwangu kutafuta maisha sijawahi kutana na fursa ya namna hii na.laiti ingenikuta kitu ya namna hii miaka hiyo Nawahakikishia Leo nisingekua na uchumi nilio nao sasa. Lakini kuna mtu haoni hili.
Sana mkuu. Mwaka jana kule tweeter kuna mtu alikuwa anatafuta mtu wa shamba laki na nusu kwa mwezi. Niliikosa kisa nilichelewa
 
Usinichukulie poa,naweza mkuu
Twende nikakuache kama hujanipigia simu nije...

Wengi wanafikiri ni shamba basi poriniiii

Huyu ni jirani yangu ambae anaishi pembeni yangu,Anatumia Solar ila maisha yake very kutamanisharing

IMG_20230927_161507_8.jpg

Huyo Jirani hapo ana heka 20 hana habari na mtu najua ntakua nakukuta unashinda kulee kwenda kuangalia TV kwa watu😂😂
 
Twende nikakuache kama hujanipigia simu nije...

Wengi wanafikiri ni shamba basi poriniiii

Huyu ni jirani yangu ambae anaishi pembeni yangu,Anatumia Solar ila maisha yake very kutamanisharing

View attachment 2813714

Huyo Jirani hapo ana heka 20 hana habari na mtu najua ntakua nakukuta unashinda kulee kwenda kuangalia TV kwa watu😂😂
We nipo serious mwenzio,kwahiyo nipanda gari lini? Na lini nianze kufyekafyeka....ila solar ya kuchajia simu lazima
 
Ulienda kununua kwa yule Dalali Msomi? Nasikia bahari unaona kabisa ileee...

Tatizo barabara ya kutoka pale Kibada kwenda Mwasonga mbovu kinoma. Nilienda nikaishia njiani na Passo yangu.
Hamnaa Kuna real estate flani hivi Inaitwa canan land.

Ofkooooz barabara sio rafiki ila nimeona lile eneo ni potential miaka kadhaa mbele. Na inachongwa kila siku, Leo nimepita hapo inachongwa.

Good news umeme umefika, sad news kama umeiona Iko karibu na bahari huko ni potea au kimbiji. Mwasonga haijakamata na bahari mkuu
 
We nipo serious mwenzio,kwahiyo nipanda gari lini? Na lini nianze kufyekafyeka....ila solar ya kuchajia simu lazima
Mimi sasa ndio nipo serious zaidi yako hadi nimefungua UZI unahisi nani kamzdi mwenzake u serious?

Solar tutatumia ya jirani bwana aaah hutaki kujipendekeza kwaniii kwa wenyeji wakooo😂
 
Back
Top Bottom